Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kichwani upo vizuri hawa sio kama dada zetu wanaopenda mitulinga tuJamani wenye mademu wazungu,tupeane michongo,nipo DSM ila sina rasta
Mkuu mbona hiyo simple sana Mimi nilimpata mfilipino alikuwa akinipigia mida ya alfajiri pale tunawasiliana sana na Mara ya mwisho tulivinjari sana wakati tunakutana Hong Kong japo yeye alikuwa akielekea kikazi Lebanon.
Kikubwa mkuu ni usmart wako tu katika uwasilishaji wa vitu na uaminifu wako,hawapendi uongo kamwe.
Hahaha Jana nimetimua wafanyakazi wawili..Hivi bado unafanya ujasiriamali wewe tahira
Sasa mkuu mapesa yote hayo unayomiliki...yanini kuja kuhangaika mitandaoni kutafuta madem wa kizungu?Ndo tatizo la jf hili,mbuzi kama wewe unaropoka tu bila kujua unaongea na nani,kwa pesa nilizonazo nakulisha wewe,mama ako,baba ako,mjomba wako,Dada ako,mke wako,watoto wako nawajengea nyumba nyie kazi yenu iwe kula na kunya tu
hahaha [emoji23]Sasa mkuu mapesa yote hayo unayomiliki...yanini kuja kuhangaika mitandaoni kutafuta madem wa kizungu?
akikujibu unitagSasa mkuu mapesa yote hayo unayomiliki...yanini kuja kuhangaika mitandaoni kutafuta madem wa kizungu?