Nawezaje nikapata demu Mzungu??? Msaada tafadhali

Mkuu mbona hiyo simple sana Mimi nilimpata mfilipino alikuwa akinipigia mida ya alfajiri pale tunawasiliana sana na Mara ya mwisho tulivinjari sana wakati tunakutana Hong Kong japo yeye alikuwa akielekea kikazi Lebanon.
Kikubwa mkuu ni usmart wako tu katika uwasilishaji wa vitu na uaminifu wako,hawapendi uongo kamwe.
 
mfilipino ni mzungu au mweupe hawa wanatufanyia masaji kila siku huku saloon
 
Yan unaacha kulala unawaza utapataje dem mzungu
 
Ndo tatizo la jf hili,mbuzi kama wewe unaropoka tu bila kujua unaongea na nani,kwa pesa nilizonazo nakulisha wewe,mama ako,baba ako,mjomba wako,Dada ako,mke wako,watoto wako nawajengea nyumba nyie kazi yenu iwe kula na kunya tu
Sasa mkuu mapesa yote hayo unayomiliki...yanini kuja kuhangaika mitandaoni kutafuta madem wa kizungu?
 
You can be SKINNY or FAT...

WHITE or BLACK...

Nigga PUSSY is PUSSY so yeah I will hit that...


 
Yupo rasta flan dereva tours Arusha alitaman mwanamke wa kizungu basi siku wakamtumia tiket akaenda Ujeruman alipofika huko akapokelewa vizur wakampeleka kwenye jumba fulan sehemu za Mashambani wakaanza kumla kwa zamu jamaa mpaka hamu ilipoisha jamaa hoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…