Nawezaje pata CPD Points kirahisi

Nawezaje pata CPD Points kirahisi

Kwa hiyo nyie huko mmebanwa na kutakiwa kulipia kila vi semina au vikozi sababu mkipewa mfanye mtandaoni bure wenyewe mngekuwa mnajanjajanja nyingi?
Mbona huko mambele kuna kozi nyingi mtandaoni na zinatoa CPD?
 
E learning si chap tu, na kuna kozi kibao online huko, ukisoma ukipata cheti nenda kakiweke utapata points
 
Back
Top Bottom