morogorokwetu
Member
- Mar 25, 2013
- 19
- 3
mkuu unauliza kazi kwenye vitengo hivyo mbona zipo kibao kwani haupo nhini mkuu??habari yenu wana jf! Natumain uwazima
msaada wadau nataka kufungua kmpuni inayo deal na land survey, gis , land evaluation pamoja na quantity survey,
the nawezaje nikapata kazi au tenda katika katita vitengo hivi?
Asanten sana
:deadhorse::deadhorse:
mkuu unauliza kazi kwenye vitengo hivyo mbona zipo kibao kwani haupo nhini mkuu??
mkuu wewe unataka tenda au unataka kazi na unafani ipi kati ya hizo hapo juu maana ni vitu vitatu tofauti?nipo nchini namna ya kuzipata sifahamau kama una ka utaalamu tuelimishane nipo seriuos kihenge
sasa mbona hueleweki,unatafuta kazi kwenye kampuni zina zodeal na hivyovitu au unatafuta kazi za namna hyo kwenye makampuni?
nimefungua kampuni inayo deal na vitu hivyo.... je tenda na kazi kwa ajili ya fani hizi zinapatikanaje KIHENGE ? NAFIKILI NIMEELEWEKA CAN WE MAKE CONSERVATION Privately if possible
HABARI YENU WANA JF! NATUMAIN UWAZIMA
Msaada wadau nataka kufungua kmpuni inayo deal na Land Survey, GIS , Land Evaluation pamoja na QUANTITY SURVEY,
THE NAWEZAJE NIKAPATA KAZI AU TENDA KATIKA KATITA Vitengo hivi?
Asanten sana
:deadhorse::deadhorse:
advertizement lazima ufanye........