Nay na Roma wapewe maua yao

Nay na Roma wapewe maua yao

Elon J

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2022
Posts
635
Reaction score
1,907
Hawa jamaa wamejitoa mhanga haswa maana kwa Africa ukiwa mkweli wewe ni adui. Hawa jamaa wamekuwa wakweli sana katika kufumua maovu na uchafu unaifanywa na hawa wachumia tumbo. Hio ndio maana halisi ya sanaa.

Wakati wasanii wengine wamegeuka machawa. But Africa ukijifanya mtetezi wa wanyonge utaanza kuchukiwa mpaka na wale wanyonge unaowatetea. (Africa is dark continent).

Daaa! Ngoja niendelee kusikiliza Ngoma ya Ney hapa

Raiiiiiiiiiiiiiiiiiis🎵

Kitaaan president!🎵

Aaah nitakachokiongea waweza niona sio mzalendo. Uzalendo gan nchi inaendeshwa kimagendo🎵

Kila kitu kipo wazi mamaenu analea wenzi🎵

Hata ripoti ya CAG hakuna aliyechukuliwa hatua🎵

Bandari mumemuuzia muarabu na mkataba wa milele🎵

Charger imekata😥😥
 
Stamina asingekuwa chawa angeingia kwenye list hii. Jamaa naye ana uwezo wa kutupa mawe ila uchawa anao
 
Back
Top Bottom