Nay wa Mitego aitwa BASATA

Nay wa Mitego aitwa BASATA

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Katika ukurasa wake rasmi wa Instagram Nay wa Mitego anaandika:

Nimepokea Barua Ya Wito Kutoka Kwa Walezi Wetu @basata.tanzania Kwa Ajili Ya Kikao So Nitafika Kwenye Kikao Siku Iliyo Pangwa.

Naamini Kitakua Kikao Kwa Ajili Kuijenga Sanaa Yetu. Coz Naamini Kuijenga Na Kuikuza Sanaa Yetu Ni Moja Kati Ya Kazi Kuu Ya @basata.tanzania


1693573437793.png
 
Back
Top Bottom