Nay wa Mitego comments kuhusu Nick Mbishi

the american dream

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
1,755
Reaction score
835
I quote

"Mimi naona amefikiri na amechukua uamuzi sahihi kwa sababu simuoni anachofanya namuona kama msindikizaji tuu. Na aende akatafute kitu cha maana cha kufanya na sio kulelewa na wanawake/kuolewa na wanawake.
Na kama atashindwa kupata kitu cha maana cha kufanya aje kwangu nitamshauri afanye nini"


NB: I don't know reaction ya Nick itakuwaje :thinking:
 

atamdiss tena wapi wakati kaacha mziki,
hao si walikuwa wanatungiana nyimbo za kupondana
 
ameshaijibu kwa free style "hakuna kusanda kukaza mpaka A to zii,unaongelea akadumba?who is nay to me"lakini apo "na aende akatafute kitu cha kufanya na sio kulelewa na wanawake/kuolewa na wanawake"umeongeza chumvi mkuu posti ipo kwenye website ya millardayo na bongo 5
 

Hahahahahaaaaa ahsantee mkuu
 

Haha haaaa,ngoja niende nikajionee nijue kama kaongeza chumvi au sukari...
 

Mimi ninayo audio yake

Sina maslahi yoyote yakunifanya niongeze au kupunguza maneno
 
Neema Wa Mitego sijui kwanini nyimbo zake zinapewa promo wakati hajui kuimba wala kurap
 
Mimi hadi kesho sijuagi Ney wa mitego anaimba nini.
 
Ney ni mpumbavu tuu mpenda misifa siwezi hata kumuweka au kumlinganisha na Nikki mbishi maana Neema muziki wake sijajua ni rhumba au chakacha lakini Nikki inajulikana ni mwana hip hop mwenye misingi yote ya hip hop...tatizo muziki wa sasa umebebwa na mabwanyenye yaani bila kujipendekeza kwao/kuwapigia magoti kama miungu watu hawatakupa promo hata siku moja si Kwa underground wala mainstream mc...Kwa sifa Kama hizo mwana hip hop wa kweli hawezi kua nazo sababu anajiamini!!!sioni anachoimba Ney kumanina huyu mpk akaanza kutoa maneno ya kishoga Kwa Nikki na asipoangalia atakuja
 
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Medula Oblangata ya ney wa mitego ina hitirafu...na haijitaji kuwa daktari bingwa wa magonjwa akili kulijua hilo bali kwa kusikiliza nyimbo zake....kama kuna ndugu zake humu nawashauri wamuwahishe milembe...kwa vipimo zaidi....
 
Ney ana tabia za wanawake wa uswahilini. Hajui hiphop wala bongo fleva.

Ni moja ya wasanii ninao wadharau sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…