Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
diamond show ya iringa juzi amelipwa laki tatuIla naona kama yuko sahihi,kupiga shoo za kuitwa na mapromota kwa TZ kwa sasa wanalipwa pesa ndogo sana hasa kwa hawa wasanii wadogo.
Wasichague kazi, hata birthday wakapige tu!Msanii Ney wa Mitego amefunguka mambo mbalimbali kuhusu muziki wake
Ikiwa ni pamoja na bifu lake na Mr T, Gigi Money, ishu ya kumbaka Nisha na Kolabo
Pia amezungumzia soko la muziki lilivyo sasa hivi na akilinganisha na mwaka jana anadai show zimekuwa chache mno na hata wanaofanya show wanalipwa kidogo sana kwa kuwa mapromota wanadai haziwalipi
Amesema hali inatarajia kuwa mbaya zaidi mbele kwa kuwa hela zinabanwa ila amedai hategemei show kwa kuwa ameshawekeza
what kiba!!! ngoja waje!Tumeona wengine, wakigoma kuingia kwenye, stage dodoma kisa, hawajalipwa sh milionn mbili. Kiba kaweka fora mwisho mashabiki wakataka kumpiga
Ni wasanii tu waliosimama na wenye msimamo watakao simama
Msanii kama darasa anapiga shoo kwa sh milion4 unafikiria nini hapo wakati yupo kwenye chati je akichoka atapiga kwa bei gani?
Na wewe umelipwa sh'ngap ??diamond show ya iringa juzi amelipwa laki tatu
We ni zari au?diamond show ya iringa juzi amelipwa laki tatu
Mbona bado show zinajaa km siku za nyuma? Kuanzia fiesta n.kIla naona kama yuko sahihi,kupiga shoo za kuitwa na mapromota kwa TZ kwa sasa wanalipwa pesa ndogo sana hasa kwa hawa wasanii wadogo.