Nay wa Mitego: Japo Diamond ni mshikaji wangu ila kimuziki hamfikii ubora Ali Kiba

Kuna mtu asiyependa mafanikio.

Na wengine nao si wafanye biashara kama mondi sasa. Mbona mmoja tu ndo anaonekana kinara wa biashara
 
Hakosag lakusema huyu mzee wa makavu live
 
Sawa Ney, ila nachojiuliza hivi bongofleva haiwezi kuendelea bila kumzungumzia Diamond? Maana kila siku nikija humu nakutana na matamko, mara mwingine amzungumzie sijui hastahili kuitwa Simba.
Kwani kazungumzwa diamond pekee mbona alikiba katajwa
 
Kama ni kuimba watu wanaimba toka enzi hizo, tunachoangalia ni ubunifu na mafanikio kulingana na kazi zako,mtu anaimba lakini sio mbunifu kuna faida gani sasa ya kuimba.
Ni kweli maana hata kuomba hata chiriku anaimba ila hana mafanikio
 
Na huu ndio ukweli Kiba anajua sana kuimba kuliko msanii yeyote Tanzania bara na visiwani..lakini hajui biashara ya muziki na kwa hilo Diamond Yuko juu sana
 
Kwa hiyo kiba sio mfanya biashara halafu kiba ni mzur kumshnda mond kwa kip au kwa wimbo gani mpaka amzid mond? Mond anafanya vizur kuliko yeyote bongo fleva,kuanzia ubaaji,on stage,biashara wa mziki,utunz,aseti,kutangaza mziki ndani na je pia,sasa ukisema et kiba anafanya vizur kuzd mond nashngaaa sema nay anatafuta tu kiki hana lolote.
 
Wewe je si una IQ Kama ya ali kiba
Ulichokiandika sasa una umri gani? ? Ngoja nikufafanulie hutakiwi kusema fulani hana mafanikio navyojua Alikiba na Diamond wana pesa nyingi kuzidi sisi tunao comment humu ndani na siku zote mwenye IQ kubwa au mwenye mafanikio hawezi kusema fulani hajafanikiwa ukiona mtu ana mawazo hayo ujue ana mawazo ya kimaskini, IQ yake ni ndogo au ana utindio wa ubongo mkuu na jinsi ulivyonjibu najua bado unakula kwa baba na Mama hujajua maisha bado ni nini mdogo wangu Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…