Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Dah embu mcheki jamaa hiyo mistariiMkuu ndugu yangu utundu wako umetanuka Sana siku hizi, haukua hivyo siku za nyuma.
Tuje huku na baadae twende tena YouTube...loh
Sikiliza kwanza huu kisha urudi...Wazee wa jamvi huyu msanii wetu pendwa hapa bongo katoa nyimbo ambayo ukiisikiliza hovyo unaweza hisi anatukana
Yaani kawapiga chenga BASATA wakijua kabisa anatukana ila pakumshikia sidhani kama wataweza...?
Ila huyu broo bado nahisi akili zake zinaumana na Misumari ya BASATA
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ngojea niende zangu nikasikilize mkuki Moyoni wa Afande SelleNyimbo za siku hizi, ovyooo
Nataka kukutoo...
Kukutoa out
Enzi hizo mziki burudani mziki elimu....Ngojea niende zangu nikasikilize mkuki Moyoni wa Afande Selle