Nay wa Mitego: Ntaurekebisha Wimbo Wangu Kama Rais Alivyoshauri Lakini Sitavuka Mipaka

Tayari Nsinzonje keshafanya yake, ukikubali kunywa gahawa ya magogoni tayari umeshakopa deni, ole wake aje akiuke makubaliano atakuja kukutana na wale jamaa wa palee..... wapi paleee!! ambao wanatumiaga tuplaizi kuhasi... na kung'oa vidole gumba. kama hajui ana deni la kumstahi mkuLu
 
Dah yaan tangu mkulu aseme hapangiwi, basi kila mtu naona hapangiwi cha kupost jf!
 
Sie tunautaka huu huu, akirekebesha apeleke ukapigwe ikulu na bungeni basi.
 
Kwa hiyo unatuambia kuwa UMEITWA KUELEKEZWA UIMBE BILA KUVUKA MIPAKA,sawa tumekuelewa imba usivuke mipaka kama ulivo imba huu bila kuvuka mipaka had akaupenda
 
Naanza kumuona ney mpya ney aliyeeditiwa sio ney yule aliyepata jina la ney kwa mambo ya kiney. Hakuna kubadilika rais amekujua kwa wimbo wako wa maneno makali sasa wanataka ubadilike. Hakuna baki ney yuleyule msemakweli sana Sana'a hapo ongeza tu shairi. KUNA WALIOKULA PESA ZA RAMBIRAMBI ZA KAGERA.. WAPOOOOO
 
Ney acha mambo yako wrw yeye kasema hspangiwi cha kufanya sasa iweje akupangie wew cha kuimba kataaaa hayo marekebisho ongezea maneno mengine zaid mambo gan hayo sasa kama anataka marekebisho apeleke akasikilize koromije na mwisho kusikika iwe ikul ila kitaa tunautaka huuhuu wa kwetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uchohezi
 
exactly
 
Miongoni mwa vitu vilivyonikera kwa ney ni hili aisee nimemuona ni bonge moja la falaa halafu ni muoga muoga kama yale mandege yanayoitwa ndege john

Yani kalainishwa kidogo tu huyo kalainika kama mlenda

HAKUNA MKATE MGUMU MBELE YA CHAI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…