Nay wa Mitengo, laana ya baba ake na mihemko ya kisiasa ina mvuruga kichwa

Taasisi ya magonjwa ya akili - Mirembe pamoja na Wizara ya Afya inabidi ije na mkakati maalumu wa kupima afya ya akili ya Watanzania.

Tafuta tiba ya afya ya akili mapema.
 
Alichoniudhi zaidi ni kusema sisi maafisa wa Serikali ni Panya road waliovaa suti.
 
Msanii hujibiwa kwa sanaa,ungeingia ukatunga wimbo wako wa kumdiss ungefanya la maana
 
Ney wa mitego na Roma ni kati ya wasanii wachache ambao wanaotendea haki sanaa yao kwa sababu wanaimba vitu ambavyo viko kwenye real tofauti na hao wengine nyimbo zao nyingi zina vielement vya kunyanduana.Anzeni kumpuuza Ney ila mimi nitakuwa wa mwisho kufanya hivyo
 
Kabisa wanaelimisha jamii vizuri sn, hakuna sehemu amemtaja kiongozi yoyote
 
Kaiba uhalisia
 
Nashauri BASATA wausome huu uzi kupitia maoni ya wachangiaji kabla ya kumuhoji Ney wa Mitego. Picha ambayo mimi nimeipata ni kwamba zaidi ya asilimia 95 ya wachangiaji wamekubaliana na ujumbe uliomo ktk wimbo wa "AMKENI"
MIMI NILITEGEMEA NEY ANGEJIBIWA KWA HOJA.
Kwa mfano mafisadi waliotajwa katika ripoti ya CAG hawajakamatwa
Mtu mwenye hoja angekuja na majibu 10 wametiwa ndani.
Badala yake tunaletewa ngonjera.
Ney Big up bro
 
Alipoongelea bandari kuuzwa kwenye wimbo wake nikajua huyu hamna kitu anachokifahamu. Kwake ni fursa ya kutengeneza pesa masuala haya nyeti ya kiserikali.
 
Siku zote watanzania wanapenda maneno mazuri tu hata kama Kuna madudu ndo maana tuna unafiki kila sehemu, kiongozi kusemwa ama watu kuwa na mitazamo tofauti na kuhoji ni Suala la kawaida sana
 
Ney katupa jiwe gizani....kumbe limekupata.
 
Alipoongelea bandari kuuzwa kwenye wimbo wake nikajua huyu hamna kitu anachokifahamu. Kwake ni fursa ya kutengeneza pesa masuala haya nyeti ya kiserikali.
Hivi ccm mbona mna akili mgando kiasi hiki?
Mnatetea maslahi ya wachache, mnatumika kama chupi kufunika uchi wa wengine kisa mahaba ya chama, shtukeni
 
Ungeongelea tabia za kina Diamond, Konde Boy na Zuchu za kutuharibia watoto ningekuona wa maana sana.
 
Atapuuzwa na kizazi chenu,sisi tutapokea maudhui yake,mlikuwa wapi na machungu yenu enzi za hayati Magufuli?
 
Hivi ccm mbona mna akili mgando kiasi hiki?
Mnatetea maslahi ya wachache, mnatumika kama chupi kufunika uchi wa wengine kisa mahaba ya chama, shtukeni
Awamu ya sita ni muda wa kuku kufunguliwa na kutoka nje kuliona jua, furahini sana kipindi hiki mna uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…