Nay wa Mitengo, laana ya baba ake na mihemko ya kisiasa ina mvuruga kichwa

Ulianza vizuri , ukachanganya hasira zako ukaharibu threads

By the way uhuru wa kuzungumza na kutoa maoni ndio huu sasa na wewe unautumia uhuru huo huo. Umesihi ney awaheshimu viongozi halafu wewe unamtukana aisee bongo hii
Wavivu ndio wanaolalamika.Fanyeni kazi,acheni uvivu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mbona sijakuelewa mkuu
 
Ukweli Mchungu..,
 
Wewe ndo wa kupuuzwa kiazi mmoja, vilaza kama nyie mnapenda kuishi kinafki sana, mkisikia mwanaume wanaongea ukweli mnashtuka.... Kula chuma hicho kutoka kwa Ney. 😏
 
Amekugusa. Imekupenya Hiyo Nay oyeee
 
Katika maisha broo jiepushe na familia za watu sawa ney kakulia mtaani swali la kujiuliza wewe na wazazi wako mmetoa misaada mingapi katika familia yao acha chuki Braza kabla ya kuanza kumchukia ney jiulize unamsaada gani kwake katiba ya nchi inatoa ruhusa kila mtanzania kutoa maoni yake broo acha roho mbaya meseji senti from Infinix hot 30
 
Wivu utakuua.Huyo mama sio mwenzako,amefijia level ya urais,wewe hata uwenyekiti wa mtaa huna.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Another dunderhead reasoning like a class three dropout.

Welcome on board and be informed that president's duties have nothing to do with masculinity or femininity.

It's high time for Tanzanians to evaluate candidates on a set of criteria such accountability ,vision,brains,selflessness, and rationality.

This can only be done with an independent electoral commission which is the CCM biggest nightmare for years.

With a fair and square election ,Samia will not even win a ward representative post .
 
Inabidi tukeite tukuhoji, unawezaje kumkejeli na kumtusi rais wetu wa kitaa kwa kumuita mwizi na chokoraa
 
Aliyekuambia yeye anutaka urais au uwenyekiti wa mtaa ni nana? Na aliokuambia ukiwa rais au waziri ndio umebarikiwa ni nani? Kwa taarifa yako watu wapo na maisha yao wanaishi vizuri tu bila stress kama hao mawaziri na rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…