The choosen one1
Member
- Dec 13, 2023
- 67
- 238
AtaharibuLeo usiku mtumie picha za X
Nenda kwa mganga mwamposa akupe dawa ya kupaka, utakuwa ubayapaka hayo mahusiano mara nne kwa siku, baada ya masaa 72 utaanza kuona matokeo.Wakuu
Naishi vipi na huyu mrembo wa kishua kama rafiki tu, naona haiwezekani.
Nitumie njia gani huu urafiki wa kawaida unipe tunda hili.
Wataalamu na wabobezi wa jf nijuzeni kwa niaba ya wadau wengine pia
Asante