maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Tofauti na kwenda kutoa bank au kwa wakalaHizo cash utazifanyia nini watu wasipofungua maduka yao?
Mimi hupenda kuongea kiroho zaidi,nayaona maandamano tarehe 9,nakushauri ndugu yangu nunua mahitaji yako muhimu weka ndani,kuanzia vyakula maji dawa,hakikisha una Cash mkononi ya kukutosha ingalau kwa wiki 2
Usiwasemee mioyo ya watu.Watu wanakumbuka shaba za juzi unadhani watarudia kuchezea sharubu
shtuka *** wewe utakunya kitandaniWatu wanakumbuka shaba za juzi unadhani watarudia kuchezea sharubu
Wengine huangalia ulimwengu katika ulimwengu wa kiroho zaidi maana yake ni kwa yale yajayo au la baadaye ambalo kwa macho ya kawaida huwezi kuyaonaWatu wanakumbuka shaba za juzi unadhani watarudia kuchezea sharubu
Mkuu lakini wao ndio wamesema wanataka "maridhiano", vijana ndio wamekataa hayo mazungumzo, kwa sababu mazungumzo yameonekana ni ulaghai tuHivi kwa nini hawaoni meza ya mazungumzo ndiyo njia pekee na rahisi kulimaliza hili. Mbona vitu vinavyodaiwa vina faida kwa wote hata watoto wao?
Kwa tulipofikia, maridhiano yatakayowezekana ni yale yanayosimamiwa na Msuluhishi anayeheshimika na pande zote na inawezekana atahitajika kutoka nje.Mkuu lakini wao ndio wamesema wanataka "maridhiano", vijana ndio wamekataa hayo mazungumzo, kwa sababu mazungumzo yameonekana ni ulaghai tu
Sasa utataka maridhiano kwa mtu ambaye amepata madaraka kwa ulaghaiMkuu lakini wao ndio wamesema wanataka "maridhiano", vijana ndio wamekataa hayo mazungumzo, kwa sababu mazungumzo yameonekana ni ulaghai tu
Nami nimeshuhudiwa na Roho wa Bwana hapa kuwa yatakuwepo... tuchukue tahadhari, tuombe, tusipuuzie chochote..Mimi hupenda kuongea kiroho zaidi,nayaona maandamano tarehe 9,nakushauri ndugu yangu nunua mahitaji yako muhimu weka ndani,kuanzia vyakula maji dawa,hakikisha una Cash mkononi ya kukutosha ingalau kwa wiki 2
😁 😁 anaishi kwa kukaririshtuka *** wewe utakunya kitandani