Habarini wapendwa. Nauza mapazia yangu ambayo kimsingi siyahitaji tena. Kuna piece 8 jumla. Pisi 4 zipo complete ina combination ya rangi tofauti nauza elfu 35, pisi 3 zipo rangi nyekundu tupu nauza elfu 25, na hii pisi nyingine ipo 1 naitoa kama nyongeza (inafaa kwa mlangoni).
Ni mapazia futi 4.5 kwa futi 9 kwenda chini. Yanafaa na mazuri sana. Naweza kunicheki PM. Nipo Dar es Salaam. Karibuni!
View attachment 1684830View attachment 1684834