Taarifa kutoka Tanga zinaeleza kwamba wananchi wameanza kupikia mafuta ya kula , baada ya nazi kuadimika kwenye masoko.
Haijulikani hasa sababu ya Nazi hizo kuadimika ghafla , bali wanazuoni wanaona kwamba , huenda matumizi ya kishirikina hasa kuelekea siku ya fainali ya Simba na Yanga kwenye ngao ya jamii yaweza kuwa sababu kuu