WAFULA CHEBUKATI
Member
- Aug 13, 2022
- 41
- 98
Najua nitabezwa lakini ukweli huu mwaka Africa itasimama na kushangaa kwa jinsi timu mbili kongwe zitakavyo tinga Nusu Fainali japo kuingia fainali sina la kusema.
Timu zote mbili zilibezwa na Watanzania tena wachambuzi kutoka redio zote pendwa lakini zimevuka makund na kuingia Robo Fainali.
Leo macho yote yapo Cairo kushuhudia upangwaji wa timu zitakazo pambana Robo fainali.
Utabiri wangu utakuwa hivi;
Simba vs Esperance de Tunis
Pyramids vs Young Africans
Tuache siasa tuungane kizipambania timu zetu maana huu ndio urithi wetu na sehemu pekee kwa Mtanzania kujiliwaza kutokana na ughali wa maisha kupanda bei kwa vyakula, kodi kubwa kwa wajasiriamli.
Nawe waweza tupia utabiri wako.