Nazizi afanya maajabu, ajikondesha na kuwa mrembo wa haja ukimuona hutoamini

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Mwanamuziki Nazizi kutoka Kenya ameshangaza wengi baada ya kufanikiwa kupunguza mwili wake kwa kiasi cha wengi kutoamini kama ni yeye. Mwanamuziki huyo kabla ya hapo alivyosasa alikuwa ni Bonge nyanya yaani mnene kupindukia , lakini siku za karibuni mwanamuziki huyo ameingia Gym na Kufanikiwa kupunguza mwili wake kwa kiasi kikubwa sana.

============

Artist and music sensation Nazizi has made all our jaws drop to the floor, as we get busy picking our jaws from the floor and getting reanimated from our shock, lets share the shock with you too, lets see if you handle the jaw-drop. Damn this is like an RKO from nowhere! She has literally stunned us.
 
Kwa nilivyo mgonjwa wa majimama...
Nadhani alivokua mwanzo ndik alikua ananivutia...saa izi
Ooooh nyashi, hanivutii tena
 
angekuwa bongo tungemuongeza kwenye list ya wanaoumwa kifua.
Kama Mustafa Hassanal... kuna wakati nilikuwa namuonaga sana... enzi akiwa Bonge Nyanya (heri ya alivyokuwa Naaziz!) Pilika zikanifanya nisiwe namuona Hassanal... ikapita miezi kadhaa kama sio mwaka au miaka! Siku nakuja kumuona kwa mara nyingine, moyo ukafanya paaah! Yaani kuwa Mtanzania ni mzigo....
 

Mamboo?
 
bwah! bwah! bwah! nimekumisije geniveros wangu!!! Je, na leo tena unataka kunifananisha, au?! tena basi... lakini basi sisemi, till next time!!!

Hahahahaaaa
umeadimika km maziwa ya kukuiu
huonekani km miguu ya nyoka
haupo km paja la mbu vile
don diss me kiivyoo
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa
umeadimika km maziwa ya kukuiu
huonekani km miguu ya nyoka
haupo km paja la mbu vile
don diss me kiivyoo
hahahahahaaaa! Nimeadimika kama "Vema Sana" kwenye somo la hisabati!!! Na walimu wa siku hizi mlivyo na visa, mkitaka kuweka "Vema Sana" tu mara taswira ya Mange Kimambi mvuuuuu, hiyo inatokea akilini… hahahahahaa, hapo hapo mnaghaili!
 
hahahahahaaaa! Nimeadimika kama "Vema Sana" kwenye somo la hisabati!!! Na walimu wa siku hizi mlivyo na visa, mkitaka kuweka "Vema Sana" tu mara taswira ya Mange Kimambi mvuuuuu, hiyo inatokea akilini… hahahahahaa, hapo hapo mnaghaili!

hahahaaaaaa vema sana mi sinaga kuwabania si unajua ki sekondari sekondari very good mi mtu akinikosha tu tena km maths nagonga "excellent keep it up hamisa"
afu nikiwa job simu na off data kabisa sitaki kuchanganya madesa mie
kazi mbaya ukiwa nayo ujue!!
 
hahahaaaa! Umenikumbusha enzi zangu aisee... siku nipate "Excellent, Keep It chige!" wewe bwana eh! Halafu ukute limwandiko la teacher ni lile likubwaaa, afu limelalia kwa mbele huku "E" yake ya mwanzo ni mcharazo dizaini ya maandishi ya Coca cola, kitu red bic kimetema.... wallah hapo lazima niachie daftari langu open juu ya dawati, afu mwenyewe huyoooo; najifanya eti nimesahau kufunga daftari na nimeenda toilet!!!
 
Last edited by a moderator:

we ulikua mtata skonga afu dizaini km mtu wa swaga swaga hv
hapo mbichwa huoooo km tenga full kujidai
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…