NBA 2009 Draft/Trades

- Hasheem a great story to be told kwa vizazi na vizazi vijavyo kwa taifa hili la Mwalimu, I wish he was here kujionea kijana mdogo akitunyanyua Tanzania na kutuweka kwenye ramani ya dunia kwa mara nyingine tena, baada ya kazi kubwa sana ya Mwalimu through politics, lakini this time ni through sports.

- Kama kawa nilibahatika kuwepo kwenye both, juzi sherehe za kumpongeza kuwemo kwenye draft pale Prana, Madison, na jana kule Madison Square Garden, nikianza na juzi ukumbi ulijaa wananchi wa Tanzania na Americans na wengineo wengi sana, Thabeet aliingia ukumbini saa tano kamili za usiku, I mean TV reporters na Cameras were all over this giant Tanzanian, ilikuwa ni furaha ilioje kupeperusha bendera ya Tanzania ndaani ya ukumbi, ilikuwa heshima kubwa sana kufahamika ndani ya ule ukumbi kwamba tunatoka nchi moja na da-man, alipoingia tu kwanza ilikuwa time ya kupiga picha na kila aliyetaka, Muziki mzito ilikuwa unaunguruma ukiporomoshwa na the best djs in town, wengi tulifanikiwa kupiga picha naye sana ingawa binafsi nilishaiona nyota siku nyingi kwa siku za nyuma sana nilipiga sana picha naye na pia kukusanya auto zake, sasa ni about time tu zikawa worthy of big money wote tunanyanyuana in the process, tena bila ufisadi.

- There he was tha bigman katika ukumbi akisalimiana na kukumbatiana na anyone who wanted to wish him well, guys this was a great event na ninamshukuru Mungu kwamba I have lived long enough kujionea kwa macho, baada ya karibu saa nzima ukumbini, ilibidi watayarishaji wa sherehe wamuhamishie juu the big man kwa mapumziko kidogo, huku sherehe zikiendelea, na jana pia it was the moment of the truth, m-Tanzania wa kwanza kuwa drafted katika NBA ya Michael Jordan, Magic Johnson. Kareeem Jabal, Kobe Bryant na Lebron James, I mean that was wasup!

- Big up kwa wabongo wote waliokuwepo juzi na jana kule Madison, finally Tanzania tumerudi tena kwenye ramani ya dunia, ninakumbuka jana kwenye ukumbi NBA Commisioner Stern, akitaja Darsalaam karibu mara tatu, nakumbuka wanahabari wa ESPN wakirudia time and time kuitaja Darsaalaam na Tanzania, I was like is this for real? In the end Hasheem a Tanzanian was selected as number two pick tena kwenye first round kuwa NBA star for Grizzles, Mungu ambarikie sana na ni matumaini yangu kwamba as he moves forward atajaribu kuwa muangalifu sana na wanaomzunguka, pia ukumbini nilikutana na mdogo wake na baadhi ya ndugu wake wa karibu kutoka bongo, very decent people na reading betweeen the lines inaonekana kuwa ana very strong family ties ambayo ni muhimu sana kuelekea mbele anakokwenda, Mutombo anaweza kuwa a very good guide kwake kama atashituka na kujisogeza kwake mapema badala ya kusubiri when it too late.

- Kwa kweli ninamtakia Hasheem maisha mema na marefu, na pia kumtakia heri katika nafasi yake mpya ya kuibeba Tanzania mgongoni mwake, sasa ni wakati wa kuzidisha mazoezi ili aweze kuji-establish ndani ya NBA kwama star wa kweli, maana kuna mifano mingi sana ya walioshindwa, na mifano mingi sana ya waliofanikiwa, Mungu ambarikie Hasheem na pia aibariki Tanzania.

- Pia ninaomba kuwafahamisha wakulu wote JF kwamba baada ya hii post, ninachukua likizo ya muda mrefu sana baaada ya kuwa under unbearable presha for about last four weeks, kutoka sekta mbali mbali ndani na nje ya maisha yangu, katika siku chache zilizopita nimelijadili sana hili na The JF founder whom I have a lot of respect na ambaye tunaheshimiana sana na ninaheshimu sana his take on the ishu na ninaamini kwamba he understood the situation na what I am dealing with, na I hope nitaishi long enough siku moja kuja kuweza kuweka yote wazi. Otherwise ninawatakia JF wote mijadala progressive kwa masilahi ya taifa, I was born JF na siku moja nitakufa nikiwa JF, lakini for now naomba ku-bow out kwa amani na I'ill miss you all! A luta continua!

Respect.

Kamanda FMEs!
 
Hii sio fair, yaani jamaa anakimbia kubeba mabox hivihivi
 
Congratulations, Now we can call you a Baller!

Game Change: I am waiting on this SPIN

Wakati wa Olympic au michezo ya kimataifa, Mchezaji Mmoja, Viongozi Kumi

Sasa kwa Hashim/NBA sijui SPIN itakuaje.

Lets wait and see
 
Congratulations, Now we can call you a Baller!

Game Change: I am waiting on this SPIN

Wakati wa Olympic au michezo ya kimataifa, Mchezaji Mmoja, Viongozi Kumi

Sasa kwa Hashim/NBA sijui SPIN itakuaje.

Lets wait and see


Wewe unafikiri kwa nini Kikwete alikuwa anajiweka karibu? Yaani jamaa wanataka kubana na kuleta zile za "kijana wetu" wakati mtu amesota hawakumpa hata scholarships zao wanazopeana kiukoo.
 

Geoff Calkins: Grizzlies top pick Thabeet looking to do great things, both on and off the court : Columnists : Memphis Commercial Appeal
 



Brandon Jennings - Milwaukee Bucks




Blake Griffin - L.A. Clippers




Hasheem Thabeet - Memphis Grizzlies



Ricky Rubio - Minnesota Timberwolves




Jordan Hill - New York Knicks




James Harden - Oklahoma City Thunder




Terrence Williams - New Jersey Nets




Rodrigue Beaubois



Austin Daye - Detroit Pistons




Jonny Flynn - Minnesota Timberwolves


 
AB ulikuwa judge? naona umelenga kabisa but tunawasubiri kuona vitu vyao uwanjani
 

Mkuu vipi, mbona tarehe nanihii ulipost hii...


au ndo naenda siendi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…