Hapana aisee, Kawhi kaumia mwenyewe..ali-step vibaya na ku-twist his ankle twice..now warriors tacts if you can't beat them injury their instrumental, What a shame.
Kawh ndio bye bye hivyo.
Umeangalia vizuri Pachulia alipokuwa amesimama wakati Kawh anaruka!? Alimuwekea uzibe ndio maana ikabidi a step pembeni toka pale aliporukia. Sasa hapo utasena Pachulia hajahusika na kuumia kwa Kawh.?Hapana aisee, Kawhi kaumia mwenyewe..ali-step vibaya na ku-twist his ankle twice..
Ile ni bahati mbaya...I don't like GSW, lakini hapa unawaonea.Umeangalia vizuri Pachulia alipokuwa amesimama wakati Kawh anaruka!? Alimuwekea uzibe ndio maana ikabidi a step pembeni toka pale aliporukia. Sasa hapo utasena Pachulia hajahusika na kuumia kwa Kawh.?
Sawa ila naona kama game ikienda overtime.Ile ni bahati mbaya...I don't like GSW, lakini hapa unawaonea.
From one sportsman to another... I tip off my hat to you, partner!.Ile ni bahati mbaya...I don't like GSW, lakini hapa unawaonea.
Haiendi huko...momentum ipo kwa GSW sasa...kumpoteza your best player dhidi ya timu kama GSW ni death penalty..Sawa ila naona kama game ikienda overtime.
Asee ukisikia "down to the wire" ndo hii sasa!. Hii series kali!Haiendi huko...momentum ipo kwa GSW sasa...kumpoteza your best player dhidi ya timu kama GSW ni death penalty..
Mkuu akina Lamarcus wamezingua tu hapa mwishoni wamemuacha sana Curry halafu wao wakapoa....!!Haiendi huko...momentum ipo kwa GSW sasa...kumpoteza your best player dhidi ya timu kama GSW ni death penalty..
Spurs wanahitaji kuwa na the Claw...bila yeye hawana chance kwenye series...ila leo Spurs waki-steal hii game, the series will be very interesting.Mkuu akina Lamarcus wamezingua tu hapa mwishoni wamemuacha sana Curry halafu wao wakapoa....!!
Pamoja na hivyo kama hii game iko Oracle lakini performance ya GSW ndio hii sijui huko San Antonio hali itakuwaje.
Sawa mkuu...Mkuu akina Lamarcus wamezingua tu hapa mwishoni wamemuacha sana Curry halafu wao wakapoa....!!
Pamoja na hivyo kama hii game iko Oracle lakini performance ya GSW ndio hii sijui huko San Antonio hali itakuwaje.
Daaah.... Hii game ya Leo japo matokeo ni ovyo sana kutokana na ilivyoanza, bado nawapongeza Spurs wame expose madhaifu mengi ya warriors na kilichobadilisha mchezo ni hiyo big loss ya Kawh. Itabidi spurs nao wabadilishe mindset ya kutocheza kwa kumbebesha mtu mmoja jukumu la kuibeba timu.Spurs wanahitaji kuwa na the Claw...bila yeye hawana chance kwenye series...ila leo Spurs waki-steal hii game, the series will be very interesting.
Haha! at last!.Sawa mkuu...
Endelea KUTABIRI..!