King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
It can still go both ways, mkuu!. Unaona Spurs walivyokamia leo ugenini?!, the same thing can happen at their turf!. What we can say safely is, let's sit back, relax (or fidget on our seats), and enjoy (or pain'ed over) the most thrilling series so far!.Mkuu akina Lamarcus wamezingua tu hapa mwishoni wamemuacha sana Curry halafu wao wakapoa....!!
Pamoja na hivyo kama hii game iko Oracle lakini performance ya GSW ndio hii sijui huko San Antonio hali itakuwaje.
Surely, it is. But, let's not forget that GSW STOLE it from Spurs today. GSW got lucky. Once Kawhi was out, GSW went on a rampage, with Curry raining them threes.It can still go both ways, mkuu!. Unaona Spurs walivyokamia leo ugenini?!, the same thing can happen at their turf!. What we can say safely is, let's sit back, relax (or fidget on our seats), and enjoy (or pain'ed over) the most thrilling series so far!.
Haha! at last!.
Eti nini hasa kimewapa ushindi kwenye hii game ya Leo?Sawa mkuu...
Endelea KUTABIRI..!
Ahahaaaaah...Haha! at last!.
Sawa buradha...Eti nini hasa kimewapa ushindi kwenye hii game ya Leo?
Ngoja niwaambie tu, kama alivyosema Inzi hapo juu mara nyingi kwenye big games zenye pressure kubwa huwa mnashinda by default, yaani mpaka pale most important players wa timu pinzani wanapokuwa either kwenye kiwango kibovu au hawapo kabisa. Unakumbuka finals ya 2015 ilikuwa ni baada ya kyrie na Kevin love kuumia ndio mkacontrol games hadi mwisho.
Sasa hata na Leo napo ni hivyo hivyo nadhani mmeona Kawh Leonard alivyokuwa amecontrol games kwa dakika zote kabla hamjamuumiza, si ajabu sasa hivi ingekuwa mlishapigwa kwenu tayari.
Ila kwa performance hii mjitafakari sana...
It can still go both ways, mkuu!. Unaona Spurs walivyokamia leo ugenini?!, the same thing can happen at their turf!. What we can say safely is, let's sit back, relax (or fidget on our seats), and enjoy (or pain'ed over) the most thrilling series so far!.
Kwanini wacheze chini ya kiwango wakati walipata muda wa kutosha kujiandaa?Ahsante Steph Curry..
Ahsante Kevin Durant..
Klay Thompson umecheza chini ya kiwango...
Draymond Green umecheza chini ya kiwango...
I hope game ijayo mtakua kwenye kiwango chenu cha kawaida..!
[HASHTAG]#StrengthInNumbers[/HASHTAG]
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
Mkuu unajua ifike sehemu tukubali matokeo kama yanavyotokea mwisho wa siku. Mbona mimi kiroho safi tu nakubaligi tukishindwa bila kusema "ooh sijui nani alaumiwe, ooh mmebahatisha". Yaani hata ikiwa ni ushindi wa pointi moja, asee mshindi mi ntampongeza tu. Ndo ushindani wenyewe mkuu. Mwisho wa siku GSW wameshinda, haitaandikwa Game 1: GSW Won due to xxx reasons (leave that to the media), itaandikwa Game 1: GSW Won, Game 2: Spurs vs GSW Oracle (something like that). Mi hata Spurs mngeshinda kwa point au OT, I'd still honor yo victory. Stop whining, son (no offense meant!) and swallow the L (if yo a spurs fan) like a true sportsman, and the series go on!.Eti nini hasa kimewapa ushindi kwenye hii game ya Leo?
Ngoja niwaambie tu, kama alivyosema Inzi hapo juu mara nyingi kwenye big games zenye pressure kubwa huwa mnashinda by default, yaani mpaka pale most important players wa timu pinzani wanapokuwa either kwenye kiwango kibovu au hawapo kabisa. Unakumbuka finals ya 2015 ilikuwa ni baada ya kyrie na Kevin love kuumia ndio mkacontrol games hadi mwisho.
Sasa hata na Leo napo ni hivyo hivyo nadhani mmeona Kawh Leonard alivyokuwa amecontrol games kwa dakika zote kabla hamjamuumiza, si ajabu sasa hivi ingekuwa mlishapigwa kwenu tayari.
Ila kwa performance hii mjitafakari sana...
We had some rust and thanks for Kawhi and the Spurs for blowing up 25 points.. Game 2 is a must win and we will try to steal one at AT&T.. I call it Warriors in 5I don't deny the feasible facts the series is soo tough and whatever can happen at any ground, but taking my view from today's game, it's plausible SAS seems to outweigh GSW in somewhat... They are highly determined and adamant halafu unasema eti SPURS kakamia inakuwaje hapo wakati spurs katoka kucheza juzi tu hapa ila nyie ndio mmekaa zaidi ya siku nne zote mkijiandaa!?
Halafu hivi Klay nini kimempata Leo?
interesting.Just a friendly remainder Dray and Klay will come huge in game 2 and I wont even be close..
Get well soon Klaw..
Mkuu huo sasa ni ubishi wa kitoto.. Last season Cavs waliwasweep Hawks na kuwasubiri Warriors walioenda mpaka Game 7 na OKC lakini Cavs started the four games down 3-1 before Warriors blew it or whatever they may say..Kwanini wacheze chini ya kiwango wakati walipata muda wa kutosha kujiandaa?
teh teh teh teh teh jamaa anaanza excuse games..Mkuu unajua ifike sehemu tukubali matokeo kama yanavyotokea mwisho wa siku. Mbona mimi kiroho safi tu nakubaligi tukishindwa bila kusema "ooh sijui nani alaumiwe, ooh mmebahatisha". Yaani hata ikiwa ni ushindi wa pointi moja, asee mshindi mi ntampongeza tu. Ndo ushindani wenyewe mkuu. Mwisho wa siku GSW wameshinda, haitaandikwa Game 1: GSW Won due to xxx reasons (leave that to the media), itaandikwa Game 1: GSW Won, Game 2: Spurs vs GSW Oracle (something like that). Mi hata Spurs mngeshinda kwa point au OT, I'd still honor yo victory. Stop whining, son (no offense meant!) and swallow the L (if yo a spurs fan) like a true sportsman, and the series go on!.
Hiyo uliyosema hata sio justification ya nyie ku underperform kwenye mechi ya Leo, kumbuka last year's warriors was untouchable and bit stronger than this kulinganisha na CAVS ilivyokuwa na ndio maana iliwachukua four games kuwasoma GSW kabla hawajafanya comeback. Sasa nyie hawa SAS watu walitegemea hawatawasumbua hivi kwenye game 1 tena mkiwa kwenu na mapunziko ya kutosha na nyie ndio mmemaliza mkiwa juu yao.Mkuu huo sasa ni ubishi wa kitoto.. Last season Cavs waliwasweep Hawks na kuwasubiri Warriors walioenda mpaka Game 7 na OKC lakini Cavs started the four games down 3-1 before Warriors blew it or whatever they may say..
Mmmh Broh...Kwanini wacheze chini ya kiwango wakati walipata muda wa kutosha kujiandaa?
Mkuu unavyoongea ni kama vile Spurs ni timu ya kawaida sana. Ila kama Houston wameweza kuwafunga mara mbili na Memphis waliweza kuwafunga mara mbili basi usiwe na wasiwasi kwa Warriors kuwafunga zaidi ya hizo mara mbili. Leo tu defense na offense yetu zilikuwa likizo, sio zile za siku zote. Na spurs walichukua hiyo advantage na nadhani unawajua Warriors wanavyoweza kulikabili hilo haraka. Ni kama ulivyoona 3rd Q wamechukua advantage ya Klaw na kufuta uongozi wa 20+ points, sio rahisi hiyo..Hiyo uliyosema hata sio justification ya nyie ku underperform kwenye mechi ya Leo, kumbuka last year's warriors was untouchable and bit stronger than this kulinganisha na CAVS ilivyokuwa na ndio maana iliwachukua four games kuwasoma GSW kabla hawajafanya comeback. Sasa nyie hawa SAS watu walitegemea hawatawasumbua hivi kwenye game 1 tena mkiwa kwenu na mapunziko ya kutosha na nyie ndio mmemaliza mkiwa juu yao.
Anyway ngoja Tusubiri labda mtakuja kivingine
Hivi hizo 25 points zinazoongelewa ni zipi? At HT ilikuwa 62-42, na end of 3rd quarter ikawa 90-81. Maana naona hadi Twitter kila mtu anaongelea 25 points. Enlighten me bruh!We had some rust and thanks for Kawhi and the Spurs for blowing up 25 points.. Game 2 is a must win and we will try to steal one at AT&T.. I call it Warriors in 5
Ha ha! You always amaze me...leo tu GSW got lucky, halafu una-brag namna hiyo? It could be the other way too, unless if Kawhi won't play.Just a friendly remainder Dray and Klay will come huge in game 2 and It wont even be close..
Get well soon Klaw..
Mmmh Broh...
Hili swali lako..!
Najua wewe ni shabiki mkubwa wa LeBron James...
Hivi LeBron hajawahi kucheza hata game moja chini ya kiwango tangu uanze kufuatilia huu mchezo..!?
Au unataka niseme "WHEN IT COMES TO NBA PLAYOFFS,THEY ARE CHOKERS"?