Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
At some point on the third score ilikuwa kwa hiyo gap..Hivi hizo 25 points zinazoongelewa ni zipi? At HT ilikuwa 62-42, na end of 3rd quarter ikawa 90-81. Maana naona hadi Twitter kila mtu anaongelea 25 points. Enlighten me bruh!
Lucky? Kawhi kaondoka at 7 minutes on the clock on 3rd na walikuwa na lead ya 22 kitu kama hicho.. Timu kama Spurs na kocha mzoefu kama Pop walikuwa na kila sababu ya kulinda that lead..Ha ha! You always amaze me...leo tu GSW got lucky, halafu una-brag namna hiyo? It could be the other way too, unless if Kawhi won't play.
Collection of chokers kivipi mkuu? Yule aliyechoke finals 4 unamwongeleaje? Lebron and Cavs were swept on the finals akakimbilia Miami huyo sio choker?Lebron hata yeye huwa ana siku zake anacheza chini ya kiwango na hii sababu kuu hasa ni kwamba anatumika sana kuliko wachezaji wengine, hivyo basi tiredness lazima iwepo ambayo inaambata na perfomance kushuka.
Lakini pamoja na hivyo huwezi kumuona akileta mzaha mzaha kwenye stages kama hizi, unless timu nzima iwe imeshikwa.
Of course we are expecting to see the choking as always since you all are collection of chokers!
Mkuu unavyoongea ni kama vile Spurs ni timu ya kawaida sana. Ila kama Houston wameweza kuwafunga mara mbili na Memphis waliweza kuwafunga mara mbili basi usiwe na wasiwasi kwa Warriors kuwafunga zaidi ya hizo mara mbili. Leo tu defense na offense yetu zilikuwa likizo, sio zile za siku zote. Na spurs walichukua hiyo advantage na nadhani unawajua Warriors wanavyoweza kulikabili hilo haraka. Ni kama ulivyoona 3rd Q wamechukua advantage ya Klaw na kufuta uongozi wa 20+ points, sio rahisi hiyo..
Alafu kitu kingine ni kwamba, ukishakuwa kwenye situation kama hii itakufanya kwenye game zingine u'focus na uache mzaha mzaha. That's why I call a must win kwa game 2 na watajaribu kuiba game moja kule ugenini.
Collection of chokers kivipi mkuu? Yule aliyechoke finals 4 unamwongeleaje? Lebron and Cavs were swept on the finals akakimbilia Miami huyo sio choker?
At least Curry, Klay and Green wamepata ring yao ya kwanza kwenye timu ambayo walikuwa drafted unlike others swinging from one franchise to another and hiring players to get their rings..
Huh?30-16 to Spurs....end of 1st quarter.
Cc: Mag3
Huh?62-42 to Spurs...HT
Cc: Mag3
Huh?90-81 to Spurs....final 12 minutes coming up...
Whaaat?GSW STOLE game one...
Mmmm! Nzi, what did GSW do tonight that you believe is so out of character? I missed this game and I am dying to see the replay.Surely, it is. But, let's not forget that GSW STOLE it from Spurs today. GSW got lucky. Once Kawhi was out, GSW went on a rampage, with Curry raining them threes.
Ha ha! Najua huwezi kukubali! Lakini is it a coincidence kwamba baada ya Kawhi kutoka GSW wakawa na 18-0 run? Yes, Great Pop ni kocha mzoefu na mzuri, lakini when you are best player is out against GSW, hiyo ni death penalty! Denying kwamba kutoka kwa Kawhi kulibadili momentum na kuwa favour GSW, ni unazi tu.Lucky? Kawhi kaondoka at 7 minutes on the clock on 3rd na walikuwa na lead ya 22 kitu kama hicho.. Timu kama Spurs na kocha mzoefu kama Pop walikuwa na kila sababu ya kulinda that lead..
Speaking of cupcake's intention, right?unlike others swinging from one franchise to another and hiring players to get their rings..
Kawhi mwenyewe anasema it isn't a dirty play and he believes Zaza was contesting the shot.. Ajabu mbongo unakomalia it is a dirty play and Zaza did it intentionallyHaya mkuu ngoja Tusubiri next games kama mtawafunga zaidi ya hizo game mbili unazosema.
Usiku mwema...
"There is no convincing that Zaza Pachulia wasn't trying to injury Kawh Leornard, dirty play"
Hizo kelele zako hazizuii kwamba Bron chocked on 4 finals.. Na za mwaka huu ni za 5Lakini pamoja na kuchoke ana MVPs ngapi za finals!?
Ile CAVS ya kipindi kile superstar yoyote angahama kwa ajiri ya kupata ring. Tofauti kabisa na KD ambae amemkimbia Westbrook wakati tayari timu imeshajijenga na wangweza kuongeza mtu mwingine wa calibre yao ikawa competitive zaidi ya ilivyo sasa.
Lakini Warriors hao hao walifuta deficit ya 22 points kwa spurs hao hao on regular season Kawhi akiwepo on court.. Kwahiyo na Cavs mwaka jana comeback from 3-1 kwasababu Game 5 Dray alikuwa nje, Iggy na Curry wakicheza na injuries, Game 6 lots of poor officiating just to force a game 7 and Game 7, Curry na Iggy playing with injuries but managed to be up by 10 points on the half and Bogut injury to start the second leaves the warriors paint open which helped the Cavs to erase the deficit and even win the game..Ha ha! Najua huwezi kukubali! Lakini is it a coincidence kwamba baada ya Kawhi kutoka GSW wakawa na 18-0 run? Yes, Great Pop ni kocha mzoefu na mzuri, lakini when you are best player is out against GSW, hiyo ni death penalty! Denying kwamba kutoka kwa Kawhi kulibadili momentum na kuwa favour GSW, ni unazi tu.
Lakini Warriors hao hao walifuta deficit ya 22 points kwa spurs hao hao on regular season Kawhi akiwepo on court.. Kwahiyo na Cavs mwaka jana comeback from 3-1 kwasababu Game 5 Dray alikuwa nje, Iggy na Curry wakicheza na injuries, Game 6 lots of poor officiating just to force a game 7 and Game 7, Curry na Iggy playing with injuries but managed to be up by 10 points on the half and Bogut injury to start the second leaves the warriors paint open which helped the Cavs to erase the deficit and even win the game..
Excuses and excuses..
For sure it was.. KD mwaka huu akipishana na ring atakuwa roosted vibaya sanaBasketball gods were on your side.
For sure it was.. KD mwaka huu akipishana na ring atakuwa roosted vibaya sana
Ha ha ha! Did it hurt bruh? Maana you came out of the closet...Lakini Warriors hao hao walifuta deficit ya 22 points kwa spurs hao hao on regular season Kawhi akiwepo on court.. Kwahiyo na Cavs mwaka jana comeback from 3-1 kwasababu Game 5 Dray alikuwa nje, Iggy na Curry wakicheza na injuries, Game 6 lots of poor officiating just to force a game 7 and Game 7, Curry na Iggy playing with injuries but managed to be up by 10 points on the half and Bogut injury to start the second leaves the warriors paint open which helped the Cavs to erase the deficit and even win the game..
Excuses and excuses..
Choked? May be the one against Dallas! He was still 'immature' as a great basketball player. Ila hizo nyingine he put up big numbers; he just didn't have support from his teammates who didn't show up or who were injured.Hizo kelele zako hazizuii kwamba Bron chocked on 4 finals.. Na za mwaka huu ni za 5
Nimesoma mahali anaweza asicheze hata game 3.. Ngoja tuone, ila pia pengo la Kerr linaonekana wazi sasa.. Huwezi ukawa down by double digits alafu unawaweka nje Curry na KD at the same time knowing Klay and Dray were off..Kiukweli ukiangalia playoffs zilivyo KD anafanya kazi kubwa sana na amesaidia kumpa confidence Curry, Curry ameimprove sana this off-season ukilinganisha na kipindi cha nyuma ambapo alikuwa akiflop ana flop na timu, ila kwa sasa wanapeana cover sana na KD.
BTW leo SAS walitaka kuwafanyia surprise kali sana, hope Kawhi atarudi game 2, lakini ninavyomwona ni kwamba hata akirudi ataumia tena, in short Babu Pop inabidi abadili game plan.
Akifanikiwa kufanya hilo basi I will put him second after the real GOAT..Choked? May be the one against Dallas! He was still 'immature' as a great basketball player. Ila hizo nyingine he put up big numbers; he just didn't have support from his teammates who didn't show up or who were injured.
This year Bron wants to close all GOAT debates by beating the most stacked team in the NBA history. If he does that, he definitely be crowned as the new GOAT. Beating a 73-9 team, and the most stacked team (with 2 MVPs and 4 All-Stars in the starting 5), definitely no team has done that.