hahahah duh....That Clan(Kardashian) have a thing for ebony....Too bad it always doesnt end well..Wacha kichwa cha chini kifaidi,atakapojikuta takwimu zake zinasoma''DNP-Coach's Decision'' ndio ataelewa LBJ is more than A general Manager,let alone a coach.LBJ anasema Khloe ni distruction, dogo kamtetea anasema Khloe ni lucky card kwake na atahudhuria game zote za Cavs anazotaka.
Kaingia kwenye limelight ya The Kardashians, na Khloe mwenyewe hata divorce bado.
Zaza ni liability aisee.. Kerr pia ampe play time ya kutosha Javale sio kusubiri mpaka last 3 minutes ndio amwingize.. Sasahivi ukiangalia unaona timu zenye Bigs wengi zinatupa shida tangia last season, hata kwenye playoffs OKC walitupa tabu sababu walikuwa na warefu wengi. Cavs walitupiga sababu tukiweka death lineup wao wanaingiza Big lineup. Kerr aliangalie sana hilo.. Na sasa naiona Spurs imejiandaa kwa hiyo match up. Hawakumchukua Gasol kwa makosa. If you want to beat warriors you have to out rebound them..talking of rebounds...ndio nilichoshuhudia game yetu jana...Ukiachana na KD,Green anajitutumua sana mpaka azipate,Zaza du(lets give him time)...
hahahah duh....That Clan(Kardashian) have a thing for ebony....Too bad it always doesnt end well..Wacha kichwa cha chini kifaidi,atakapojikuta takwimu zake zinasoma''DNP-Coach's Decision'' ndio ataelewa LBJ is more than A general Manager,let alone a coach.
Poor Him,Nakumbuka kipindi cha World Cup ya Wanawake alienda kumpa support mkewe maana alikuwa USWNT...Tyreke injuries ni tatizo.. Jholiday si amechukua likizo kumuuguza mkewe... Tofauti ya Brow na Towns ukiwaswitch on opposite teams then Brow aende Minnesota basi Minnesota itakuwa a guaranteed play off team na NOLA ya Towns isifanye lolote..
Zaza is not that of a liabilty,In Dallas he did play very well,I was impressed with him na hata thread ya msimu uliopita I recognized his Contribution to the Mavs.I really hope it was chemistry thing, which can be sorted out ASAP.Zaza ni liability aisee.. Kerr pia ampe play time ya kutosha Javale sio kusubiri mpaka last 3 minutes ndio amwingize.. Sasahivi ukiangalia unaona timu zenye Bigs wengi zinatupa shida tangia last season, hata kwenye playoffs OKC walitupa tabu sababu walikuwa na warefu wengi. Cavs walitupiga sababu tukiweka death lineup wao wanaingiza Big lineup. Kerr aliangalie sana hilo.. Na sasa naiona Spurs imejiandaa kwa hiyo match up. Hawakumchukua Gasol kwa makosa. If you want to beat warriors you have to out rebound them..
''Kardashian Curse''....TT...The Next victimYaani dah, noma sana.
Ukiangalia performance ya James Harden 2014-15, tulitegemea angetisha zaidi 2015-16, kilichomtokea ni aibu.
Huyu dogo haitachukua muda atawekwa benchi, atazingua.
I meant si lazima aanze... Lakini awe na playing time ya kutosha pia ili chemistry ya timu nzima ikae sawa.. Just like Ezeli last season, Bogut had his minutes na Ezeli pia alikuwa angalau anacheza 8 to 15 minutes..Zaza is not that of a liabilty,In Dallas he did play very well,I was impressed with him na hata thread ya msimu uliopita I recognized his Contribution to the Mavs.I really hope it was chemistry thing, which can be sorted out ASAP.
Javale kuwa kwenye regular starting line up!....Mr.Shaq'tn A Fool MVP?!?....no thanks...let him come off the bench,and do what he does best......
The game might go down to the wire..Timu mbili nisizoziamini hata siku moja; LA clippers na OKC
Naangalia game ya clippers vs blazers hapa LAC walianza vizuri ila sitashangaa wakipoteza hii game.
Timu mbili nisizoziamini hata siku moja; LA clippers na OKC
Naangalia game ya clippers vs blazers hapa LAC walianza vizuri ila sitashangaa wakipoteza hii game.
Ongezea na Rocketsπ...
Pia unaweza kutupiamo na Atlanta Hawks [pamoja na counterparts wao Falcons].
Falcons wana tunayoweza kuiita 'kawaida' ya kuanza vizuri...4-0, 4-1, 5-0...lakini ghafla bin vuu fortunes zinabadilika.
Ni Evander Holyfield tu ndo aliyewahi kuiweka Atlanta kwenye ramani ya michezo kama bingwa katika miaka ya hivi karibuni.
Zaidi ya hapo ni mwendo wa high hopes na major disappointments.
Agreed. Rockets hamna kitu pale Hawks pia. Hawks timu yako sio
You'd love that, wouldn't you? If only wishes were horses, beggars wouldn't have to walk eh! πππNow let me see if Warriors are gonna choke again