NBA 2016/2017 Season Special Thread

Kuna Kitu inaitwa Protecting mchezaji Nyota, Hio IPO kwenye Mpira na michezo mingi....
Kama GSW wanaamini Curry and Green ni Nyota caliber ya James Basi wanatakiwa walalamike Stars wao hawalindwi...

Mkuu hata wao hawamaanishi, ni ule utani wa kimichezo tu.
 
Naona umevamia meli ya wagiriki na hujui hata inakoenda
Kumbe ni Meli ya Wagiriki, Thought ni Meli ya Wamexico..Me mgiriki wa Athens hata ka sijui destination naamini tutaongea Kigiriki na tutaelewana...
 

Nimemsikia Stephen A, Smith anasema IT4 was smarter enough not to come out for second half.
 
If hiyo ya kuning'inia kwenye rim uwa ina muda wake, ukining'inia zaidi ya huo muda, lazima upewe tech. Kwa hizo picha ni vigumu kujua how long kila mmoja alining'inia kwenye rim.
Nzi, all replays showed that LeBron spent more time at the ring than Green and just in case you are forgetting there was a lot of buzz about it. I don't believe he bribes refs, no, but they sure seem hesitant to take action on him, why?

If any other player did what LeBron does especially when he is bulldozing his way to the basket, an offensive foul would be called but not with the King. I say this earnestly and if you watch as many games as I do you'd definitely agree.

Refs appear scared of him and if these two games against Celtics are anything to go by, he is getting bolder and bolder at pushing, elbowing, jostling, shoving and razing little guys at will and refs just look the other way, the question is why?
 
Nimekuwekea video hapo kuonyesha kwamba Bron alipewa tech kwenye hiyo game ambayo umeweka picha yake.
 
Nimekuwekea video hapo kuonyesha kwamba Bron alipewa tech kwenye hiyo game ambayo umeweka picha yake.
Hiyo picha nilikosea tu kuiweka lakini niliyokuwa nikiisema ni hii...hebu linganisha 1

Hiyo uliyoweka iliwezekana tu baada ya mashabiki wengi wa Basketball kunung'unika!​
 
The Celtics announced Saturday that Isaiah Thomas will miss the remainder of the postseason after the "re-aggravation of a right femoral-acetabular impingement with labral tear." He initially suffered the injury on March 15, aggravated it in Game 6 of Boston's last series against the Washington Wizards and further damaged it in Game 2 of the Eastern Conference Finals against the Cleveland Cavaliers.
 
Leo ingawa Warriors wameshinda lakini kiukweli wamecheza hovyo. Hata hivyo ushindi ni ushindi tu...3 - 0!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…