NBA 2016/2017 Season Special Thread


Binafsi naamini kwamba Wizards wangeleta ushindani dhidi ya CAVS, lakini pia siamini hata kidogo kwamba eti CAVS walishika nafasi ya pili kwa makusudi hili kukwepa mlima mapema.
 
Mkuu Lizarazu unakumbuka nilivyokuambia "at least uwe na akiba ya maneno" ?!. Leo GSW walichokifanya (though they didn't play impressively) Vs. kile ulichosema dhidi yao in the lines of "GSW hawataweza toka na ushindi AT&T" (Correct me if I'm wrong). Ninachoamini ni kuwa, Popp's reliance on some single individual to be the anchor of the team's victory is somehow flawed (I stand to be corrected). Kama kauli yake ya kumtaka Aldridge a'step up big time, forgetting that, there are some other (key or not) players who should all together as a team step up their game.
Either way, may the best team win.
 

Binafsi naamini kwamba Wizards wangeleta ushindani dhidi ya CAVS, lakini pia siamini hata kidogo kwamba eti CAVS walishika nafasi ya pili kwa makusudi hili kukwepa mlima mapema.

Ha ha ha, sasa wao walishindwa nini kumtoa Celtic ili waje waoneshe huo ushindani?
 

Yap mkuu nakumbuka vizuri tu, lakini maneno hayo nilisema kabla hata ya upepo haujabadilika siku ile ile ya game 1. Pamoja na hivyo my words were invalid if only spurs would have not got some injuries which left them hopeless against full healthy GSW.

I agree popovic and his whole staff management should take the blames, this is what you get when you make your team to be one man team.
 
Ha ha ha, sasa wao walishindwa nini kumtoa Celtic ili waje waoneshe huo ushindani?
Hahaha mlalamikaji mwingine tu huyo!. Sasa wao walioko nje ndo wanasema wao ndo kiboko ya Cavs, wakati Cs tu wameenda nayo mpaka G7!. Kitu mi nataka kuona ni hawa "Wafagizi" wa coast zote mbili wakutane wakiwa na perfect playoff record, yaani 4-4-4 af ndo tuone nani atamfagia mwingine (Kama tu ufagizi wao utaendelea mpaka mwisho). Na hapa ndio naanza elewa vilio vya baadhi ya wapenzi wa NBA kuwa league imekuja kuwa ya Timu mbili tu.
 

Hakuna timu kwenye basketball inayoweza kuchukua ubingwa bila Star player, huwezi kumlaumu Pop kwa injury ya Kawhi, ni sawa na leo LBJ aumie halafu uanze kumlaumu kocha kwa kutokuwa na backup plan.

Tuliona jinsi GSW walivyombwela mwaka jana baada ya Green kuwa suspended, ni GSW pekee wenye timu 2 ndani ya moja, yaani KD and Curry (kila mmoja ni franchise player na anaweza kuunda timu yake), na hii itafika mwisho pia pale Curry, KD, Klay na Green watahitaji Max Contracts.
 

Malalamiko ya jamaa yamenikumbusha yale ya Doc Rivers, kwamba GSW were lucky not to go through LAC.

Ila nyie jamaa nahisi mnaroga timu pinzani ziwe na majeruhi, maana nikikumbuka mwaka juzi jinsi KL na KI walivyoumia, sasa hivi TP na Kawhi chalii, yaani hapa naombea tu yeyote asipate majeruhi kwetu tuwafanyie kitu mbaya sana.
 
Hahaha, na hapa nimetoka ongea na Lord Voldemort na Harry Porter (Niliwapatanisha) wafanye juu chini Bron achanike ACL, KI aumie kiganja, na KL avunjike mgongo. Yaani ile tunaanza gemu Wan tu, fans wa Cavs mnalia "They already deeead, pleease stooop killing them mooore!!!". [HASHTAG]#jokingmazee[/HASHTAG].
 

Hivi unadhani wazungu hawana hizo kitu?

Hiyo science ni world wide mkuu, lazima kamati za ufundi zifanye kazi kwa ufanisi sana, tena bab Pop ndo simwamini kabisa yule.
 
Hivi unadhani wazungu hawana hizo kitu?

Hiyo science ni world wide mkuu, lazima kamati za ufundi zifanye kazi kwa ufanisi sana, tena bab Pop ndo simwamini kabisa yule.
Hahaha we kwani wao ni nani wasiwe na kamati mzee!. Yaani wao mpaka wana occults group za ajabu ajabu na secret societies wao ndo wabaya man!. Hahaha so unataka kusema uchawi wa Babu sa hivi hauna nguvu, au hakumchanjia Klaw fresh?!
 

Binafsi naamini kwamba Wizards wangeleta ushindani dhidi ya CAVS, lakini pia siamini hata kidogo kwamba eti CAVS walishika nafasi ya pili kwa makusudi hili kukwepa mlima mapema.
Asee mi ni big fan wa GSW lakini ubabe na ujasiri kina Bron wanaouonesha huko East kwenye playoff asee ni mkubwa sana. Na pia ni madharau, sio kwamba Cavs walishindwa kuchukua top seed, hapana, ila (nnavyoona) waliona haikuwa na maana sana kama wana uwezo wa kuwachapa hizo team zote kama wadogo zao. Sa hivi wanawapiga Cs ka vile Cs walikuwa 4th Seed bhana. Hata kama misimu ijayo hali ikiwa ni GSW Vs. CAVS acha tu iwe, sa kama no one wants to "seriously" step their games up, wafanyaje?!
 
Mkuu unaamini kwenye mambo ya ulozi[emoji15]
 
Hahaha we kwani wao ni nani wasiwe na kamati mzee!. Yaani wao mpaka wana occults group za ajabu ajabu na secret societies wao ndo wabaya man!. Hahaha so unataka kusema uchawi wa Babu sa hivi hauna nguvu, au hakumchanjia Klaw fresh?!

Babu kazidiwa ujanja sasa hivi, nilimwonea huruma siku ile analalamika juu ya ile faulo, nikajua tu hapa Spurs chalii mapema sana.
 

Mkuu, CAVS are in their full strength right now and they keep getting stronger while other are weakening for some obvious reasons eg.injuries,playoffs experience etc. CAVS took the second seed intentionally.

Binafsi naona hizi conference finals za mwaka huu zimekosa msisimko sababu ya udhaifu mkubwa unaoneshwa na hizi timu zingine zinazosindikiza. Jana wakati nasubiria game nikamskia commentator mmoja anasema hizi conference finals za mwaka huu hazina watazamaji wengi, watazamaji wengi wanafuatilia high lights tu baada ya game.

Inayosubiriwa sana ni fainali.
 

Ni kweli kama nakuelewa hivi, key players ni chachu ya ushindi kwenye game yoyote ile. Lakini mi naona injury ya tony parker haijawaathiri sana kama ilivyo waathiri ya Kawhi, imagine angekuwepo mtu mwingine mwenye calibre ya Kawh na Tony. Huyu Lamarcus naona anaperform vizuri endapo timu kama ina perform vizuri na wale hawezi kuiweka begani kama Kawhi.

GSW suspension ya green waliitumia kama kisingizio kwa moto waliokuwa nao splash brothers ulitosha kabisa kusahaulisha adhabu ya green. Timu ya ma stars halafu nao wanalalamika halafu kwanza kuna mechi nyingi tu huwa wanashinda na wachezaji wao wa bench hii inaonesha hata bench wako vizuri.
 
, imagine angekuwepo mtu mwingine mwenye calibre ya Kawh na Tony.

Chifu, kwenye NBA hiyo ni very very rare. Ndiyo maana watu wanasubiri kwa hamu kum-blast KD pale GSW itakavyoshindwa kuchukua ubingwa. Maana GSW ina wachezaji wawili wanaoweza kuwa franchise players.

Hata wakishinda it wouldn't that a shocker, kwa sababu with such a stacked team, everybody expects GSW to win. It would only be a shocker for GSW to lose; and probably proving the greatness of Lebron and his supprting casts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…