King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Thanks Bruv!I like the grown-up way you look at stuff, this is maturity and is one trait of true sportsmanship...big up King Shaat! The rest of us are just hot-headed bigots led by our ovewhelming devotion to individuals and/or teams with less regard to proven stats. Nevertheless some comments just leave me perplexed, confused and astounded!
Hahaa were going to beat GSW back to back
King Shaat. mashabiki wengine humu ni mavuvuzela tu, hawajui chochote na wanapofushwa tu na mapenzi yao yasiyo na msingi wowote. Hapa chini naweza stats za hizi timu mbili katika msimu huu wa ligi NBA 2016/2017 ...Thanks Bruv!
King Shaat. mashabiki wengine humu ni mavuvuzela tu, hawajui chochote na wanapofushwa tu na mapenzi yao yasiyo na msingi wowote. Hapa chini naweza stats za hizi timu mbili katika msimu huu wa ligi NBA 2016/2017 ...
Mimi msimamo wangu unatokana na hizi data na kama unavyoona katika vipengele vyote vinane CAVS wanaongoza katika kimoja tu huku GSW wakiongoza kwenye saba zilizobaki. Sasa labda itokee miujiza lakini kwa wana hesabu kama mimi numbers dont lie, sasa nawaomba na hao wengine waeleze madai yao tamejikita katika data zipi?
Kumbe ni swala la historia! Basi kama ni hivyo inakuwaje timu zinashindwa kutetea ubingwa?Numbers lied last year, they are due to lie again.
Kumbe ni swala la historia! Basi kama ni hivyo inakuwaje timu zinashindwa kutetea ubingwa?
Kwa hiyo GSW huiweki kabisa kwenye orodha ya timu zenye ubora...kwani ubora unapimwaje, past history or current performance?Swala la kushindwa kutetea Ubingwa inategemea na ubora wa timu pinzani mkuu, pia zipo zinazotetea Ubingwa.
Kwa hiyo GSW huiweki kabisa kwenye orodha ya timu zenye ubora...kwani ubora unapimwaje, past history or current performance?
King Shaat. Hapa chini naweza stats za hizi timu mbili katika msimu huu wa ligi NBA 2016/2017 ...
Mimi msimamo wangu unatokana na hizi data na kama unavyoona katika vipengele vyote vinane CAVS wanaongoza katika kimoja tu huku GSW wakiongoza kwenye saba zilizobaki. Sasa labda itokee miujiza lakini kwa wana hesabu kama mimi numbers dont lie, sasa nawaomba na hao wengine waeleze madai yao tamejikita katika data zipi?
Ndio maana sijasema popote kwamba GSW will win or must win na kama sikosei nimekubali toka mapema kwamba CAVS waki win nitawapongeza. Ninachokataa ni watu kui-rule out GSW moja kwa moja eti kwa sababu walichoke mwaka jana...if anything that fact alone is enough to drive them to seek revenge na kuonesha kwamba what happened last year may have been a fluke kwa CAVS all due to overconfidence.You might be right, son!. But the thing with the Finals/Wrestlemania/Super Bowl/Grand Slam Finale, etc is Who Has More Hunger For it?!. Nikupe tu mfano toka kwenye mchezo mwingine... On 3rd Feb 2008, The New England Patriots (my Favorite team in the world) lost to the New York Giants 17-14 in the 42nd Super Bowl after posting the "Perfect and Undefeated" Season 16-0 with every records back then belonging to them well until that Super Bowl loss. You can imagine the pain we Pats fans had to go through.
What I'm trying to tell you here is, no matter the numbers, the records, and/or the weapons... on the biggest stage of them all...it all comes down to Who Wants it More. Everybody wants it more, that's what anyone can say, but there's always that one who hungers for it as if it's the last trophy to be given on the planet. And that can be seen by observing who put his best weapons to use efficiently and productively.
Ndio maana mimi inapofikia steji za fainali, huwa nakaa, block all the outside noise (the ones you keep hearing/the comparison ones/the derogatory ones/the underestimating ones), and enjoy the skirmish/hustle everybody from the 2 teams is putting out there to win it all. That's all. Ukisema unataka kujiaminisha na kuaminisha watu kuwa "certain team will win it because of so and so records/numbers"...my friend, utajiumiza tu moyo/kichwa bure. Just sit back and enjoy the game afu GSW wakishinda this one, njoo niunge mkono kwenye victory celebration, ikiwa Cavs wakishinda njoo hivyo hivyo, holding your head up high and like a true warrior, accept defeat and congratulate the victors.
May the best team win!
Lemme ask you a question... What would you rather be, a hero or a villain? Underpaid or overrated?Ndio maana sijasema popote kwamba GSW will win or must win na kama sikosei nimekubali toka mapema kwamba CAVS waki win nitawapongeza. Ninachokataa ni watu kui-rule out GSW moja kwa moja eti kwa sababu walichoke mwaka jana...if anything that fact alone is enough to drive them to seek revenge na kuonesha kwamba what happened last year may have been a fluke kwa CAVS all due to overconfidence.
Still the fact remains kwamba kwa performance ya mwaka huu GSW have done better than CAVs na ndio maana wanapewa nafasi kubwa zaidi. Nimepitia tabiri nyingi na asilimia kubwa zinasema hivyo isipokuwa these devotees wa JF...to them wanasubiri tu kutwaa kombe. Na hapo ndipo tunatofautiana...watwae kombe based on what, last season's win and what else? Love for super man, King Lebron, the steam roller?
In 2015 Srephen Curry of GSW was the wonder super kid, the baby faced assassin until he broke the taboo...left the King in tears in front of a fanatic crowd. Overnight the wonder kid became the most hated amongst the LeBron's lovers...how dare this nonentity do this to the King? The rest is history and since, it has not been that exciting to the boy.
And now here comes the traitor to join forces with the mutineer, God forbid! If one read the insults being spewed by the haters against Curry and KD and it doesn't end there...there's this ugly villain, thug and what have you, Drammond Green who had the nerve to be disrespectful to his majesty. The DUBS became the most hated team in NBA 2017!
King Shaat. mashabiki wengine humu ni mavuvuzela tu, hawajui chochote na wanapofushwa tu na mapenzi yao yasiyo na msingi wowote. Hapa chini naweza stats za hizi timu mbili katika msimu huu wa ligi NBA 2016/2017 ...
Mimi msimamo wangu unatokana na hizi data na kama unavyoona katika vipengele vyote vinane CAVS wanaongoza katika kimoja tu huku GSW wakiongoza kwenye saba zilizobaki. Sasa labda itokee miujiza lakini kwa wana hesabu kama mimi numbers dont lie, sasa nawaomba na hao wengine waeleze madai yao tamejikita katika data zipi?
In 2015 Srephen Curry of GSW was the wonder super kid, the baby faced assassin until he broke the taboo...left the King in tears in front of a fanatic crowd. Overnight the wonder kid became the most hated amongst the LeBron's lovers...how dare this nonentity do this to the King? The rest is history and since, it has not been that exciting to the boy.
Mkuu ungetuwekea hii ratiba kwa muda wetu wa huku kigoma ingekua poa sanaNBA Finals Schedule
GAME DATE MATCHUP
Game 1 Thu., 6/1 CLE @ GS (9 p.m., ABC)
Game 2 Sun., 6/4 CLE @ GS (8 p.m., ABC)
Game 3 Wed., 6/7 GS @ CLE (9 p.m., ABC)
Game 4 Fri., 6/9 GS @ CLE (9 p.m., ABC)
Game 5 Mon., 6/12 CLE @ GS (9 p.m., ABC)*
Game 6 Thu., 6/15 GS @ CLE (9 p.m., ABC)*
Game 7 Sun., 6/18 CLE @ GS (8 p.m.,ABC)*
*If necessary