Chillax bruv...feel out game it was...Dah tunajazwa kinoumaa
Kweli hizi TOs inabidi zithibitiwe...17 turnovers!! Alafu fainali!?
Kweli hizi TOs inabidi zithibitiwe...
Hatuangushi sana.. he play a good D so hakuna shida.. Na pia ana create open looks to KD. Cavs wamekuja na strategy nzuri ya kumbana sana Klay asirudi kwenye his rhythm wamesahau sasa timu ina 3 deadly shooters..Anayetuangusha ni Klay Thompson tu..!
Bron alionekana analia lia alivyokuwa analilia a playmaker.. Kyrie isn't good playmaker na hiyo inamfanya Bron afanye majukumu mengi mwenyewe.. You can't beat warriors on iso'sKweli hizi TOs inabidi zithibitiwe...
Ha ha! Leo uwanja wako, sina la kusema...GSW has taken game 1...tusubiri J2.Bron alionekana analia lia alivyokuwa analilia a playmaker.. Kyrie isn't good playmaker na hiyo inamfanya Bron afanye majukumu mengi mwenyewe.. You can't beat warriors on iso's
Mama yake kafariki...sijui kama atakuwepo on air.Nasubiri kumsikia Stephen A. Smith, mzee wa No Excuses.
Mama yake kafariki...sijui kama atakuwepo on air.
Natabiri mwaka huu fainali, hazitochezwa game 7
Day dreamers at their best
#NBAFinals Predictions:
Game1: Cavs
Game2: Warriors
Game3: Cavs
Game4: Cavs
Game5: Cavs
Finals MVP: Kyrie Irving You heard it here first.....
Hatuangushi sana.. he play a good D so hakuna shida.. Na pia ana create open looks to KD. Cavs wamekuja na strategy nzuri ya kumbana sana Klay asirudi kwenye his rhythm wamesahau sasa timu ina 3 deadly shooters..
When he is back to himself this series will end sooner than expected..
Mkuu upo?
So, you believe in GSW sweep, don't you?One down...three to go!
Nipo boss. Naona umeiamkia game mapemaaaa.
Hapana sijasema hivyo...ili kutwaa ubingwa ni lazima timu ishinde game nne na ziko njia nyingi za kufikisha game nne. Leo tumeshinda moja bado tatu kufikisha nne (QED) CAVs on the other hand hata hiyo moja hawana kwa hiyo tunaweza kusema Zero in the bag...four to go! πππ!So, you believe in GSW sweep, don't you?
Daaah.... Imenisikitisha sana kuona less concentration kwenye quarter ya 2 na 3 utafikiri labda CAVS ndio walikuwa wanaongoza.Kweli hizi TOs inabidi zithibitiwe...