George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Cavs wamelambishwa mchanga...
But nobody cares...
All eyes on GSW..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
Ha ha haa...how right you are, who cares! Just watched Raptors crumble to GSW in spite of being awarded 40 free throws! Just imagine over 80 free points in one single game...must be another record! That's equivalent to 20 points per quarter!Cavs wamelambishwa mchanga...
But nobody cares...
All eyes on GSW..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
Ha ha haa...how right you are, who cares! Just watched Raptors crumble to GSW in spite of being awarded 40 free throws! Just imagine over 80 free points in one single game...must be another record! That's equivalent to 20 points per quarter!
Ha ha haaa Raimundo! Of course you were following. Can you also tell us something about the CAVs-Pacers game? What happened over there buddy? Am dying to hear what happened to those three-score 3 pointers per game!View attachment 435337
Mkuu hapo naona wamepewa 41 FTs na wakascore 37, kwa hesabu zako unamaanisha kila score ya FT ina 2points?
Na kwa case hiyo hizo 37 Fts zimekuwa na 74 points au?
Mapenzi yamekuwa makubwa mpaka unachanganya habari ndogo namna hii kutafuta huruma! Tunajua kwamba timu yenu ni nzuri lakini siyo kama mnavyotaka tuwakubali, punguzeni kulalamika.
Cavs tunawachora tu.
Ha ha haaa Raimundo! Of course you were following. Can you also tell us something about the CAVs-Pacers game? What happened over there buddy? Am dying to hear what happened to those three-score 3 pointers per game!
Raimundo bhana kwahiyo bila LBJ CAVS sio kitu kabisaThought you also don't care.
BTW, unajua kama LBJ (The King) alikuwa benchi?
Ahahaaaaah...Cavs wamelambishwa mchanga...
But nobody cares...
All eyes on GSW..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
Raimundo bhana kwahiyo bila LBJ CAVS sio kitu kabisa
Akiondoka King tu CAVS itakuwa mdebwedo hahahahah
Ndo madhara ya kutegemea mtu mmoja kuibeba timu
GSW waliliona hilo mapema ndo saivi kuna kikosi kipana [emoji3]
Hapo GSW ukimtoa Green, timu inakuwa disoriented kabisa...kwa sababu Green ndiye real MVP wa GSW...Raimundo bhana kwahiyo bila LBJ CAVS sio kitu kabisa
Akiondoka King tu CAVS itakuwa mdebwedo hahahahah
Ndo madhara ya kutegemea mtu mmoja kuibeba timu
GSW waliliona hilo mapema ndo saivi kuna kikosi kipana [emoji3]
Hata Jordan needed Scottie Pippen to be a star ili awe bingwa wa NBA.... Lakini haikumaanisha kuwa Jordan was not great.. mashabiki wa Cavs siku zote mnatafuta sababu za kuonyesha Curry sio mchezaji hatari and it's a bitter pill to you kuwa hata LeBron alishawahi kutweet kuwa the boy is just so special and out of this world.. endeleeni kuita Green ndo the real MVP hakuna shida. Namba zinajieleza. Hata LeBron needed Kyrie Irving to perform ni first games ili mbaki kwenye race and he needed him pia to hit a clutch winning shot.. Lakini utafikiri Lebron anafanya kila kitu... damn get to your basketball senses.. mnataka Curry akapost kwenye Center na awe anaaverage 16 rebounds au. Mbona wengine tunamkubali LeBron and that's it.Hapo GSW ukimtoa Green, timu inakuwa disoriented kabisa...kwa sababu Green ndiye real MVP wa GSW...
Hivyo ni kawaida kabisa kwenye basketball kuwa na mchezaji mmoja anayebeba timu.
Hata Jordan needed Scottie Pippen to be a star ili awe bingwa wa NBA.... Lakini haikumaanisha kuwa Jordan was not great.. mashabiki wa Cavs siku zote mnatafuta sababu za kuonyesha Curry sio mchezaji hatari and it's a bitter pill to you kuwa hata LeBron alishawahi kutweet kuwa the boy is just so special and out of this world.. endeleeni kuita Green ndo the real MVP hakuna shida. Namba zinajieleza. Hata LeBron needed Kyrie Irving to perform ni first games ili mbaki kwenye race and he needed him pia to hit a clutch winning shot.. Lakini utafikiri Lebron anafanya kila kitu... damn get to your basketball senses.. mnataka Curry akapost kwenye Center na awe anaaverage 16 rebounds au. Mbona wengine tunamkubali LeBron and that's it.
Curry has alot to prove man.. Two seasons ain't enough.. anayeweza kusema hivyo hajui kikapu. There's been Magic Johnson.... 5 rings with him and Curry has got two.. siku zote nitasema he's the best shooter to ever grace the game. Mimi nifuatilie huwa siliii bro you know me. Napenda mtu ambaye yupo frank. Hivi seriously kwa sababu tu Draymond Green is a fitting piece defensively and he's given authority to hog the ball basi he's the MVP.Tatizo lenu ni moja, mnalia sana ikitokea mtu akiwaponda.
Ha ha ha, eti mlifikia mahali mnasema Curry ni the best PG ever, mara sijui Curry ni top 5 kwenye list ya all timers.
Acheni kupenda kusifiwa tu, kama mnamwamini Curry ya nini kumwongeza KD mkuu? You already had a superteam.
Curry has alot to prove man.. Two seasons ain't enough.. anayeweza kusema hivyo hajui kikapu. There's been Magic Johnson.... 5 rings with him and Curry has got two.. siku zote nitasema he's the best shooter to ever grace the game. Mimi nifuatilie huwa siliii bro you know me. Napenda mtu ambaye yupo frank. Hivi seriously kwa sababu tu Draymond Green is a fitting piece defensively and he's given authority to hog the ball basi he's the MVP.
So unaungana na Skip Bayless ambaye yeye anasema MVP wa finals alitakiwa kuwa Kyrie Irving kwa sababu yeye ndo alipiga clutch shots zote muhimu kuwabakiza Cleveland mchezoni last season despite numbers ambazo LeBron aliweka? Na pia going back to the Jordan Era.. hakutakiwa kuwa MVP kwa sababu kazi ya defense ilikuwa inafanywa na Rodman kwenye protecting the rim huku Pippen akiwa na defensive stone?Mkuu kusema kwamba Draymond ni MVP wa timu ni kwa sababu bila yeye ni ngumu kushinda ila bila Curry timu inaweza kushinda, hakuna ubishi juu ya Curry kuwa ni best shooter, ubishi uko kwa yeye kuwekwa kwenye discussion za Best PG ever, mara top 5 all time, nadhani unazikumbuka hizi sifa mwaka jana.
Kitu ambacho nawalalamikia washabiki wa GSw ni kwamba hawataki timu yao isemwe hata kidogo na utakuta ukikosoa kitu povu linawatoka kama nini.
All in all huu ni ushabiki tu, na ushabiki hauwezi kuwa ushabiki bila kuponda timu pinzani!
So unaungana na Skip Bayless ambaye yeye anasema MVP wa finals alitakiwa kuwa Kyrie Irving kwa sababu yeye ndo alipiga clutch shots zote muhimu kuwabakiza Cleveland mchezoni last season despite numbers ambazo LeBron aliweka? Na pia going back to the Jordan Era.. hakutakiwa kuwa MVP kwa sababu kazi ya defense ilikuwa inafanywa na Rodman kwenye protecting the rim huku Pippen akiwa na defensive stone?
Basi Curry is the best for GSW... We shouldn't even be arguing about that... Huwezi ukasema a player shooting 30 points per game, averaging a 50% FG, 45% on threes and over 90% on Free throws sio best player... na Warriors bila Green inakuwa hurt defensively.. but usijidanganye kuwa Warriors can go winning without this guy's marksmanship. Watu mnatumia nguvu nyingi kupinga ubora wake huyuMkuu Kyrie kuwa MVP no, point ni kwamba LBJ akiwa nje Kyrie nz team hawawezi kuwa na matokeo chanya, ila Kyrie anaweza kuwa nje na kina LBJ wakashinda.
Maana ya MVP wa team ni yule mtu ambaye bila yeye timu haishindi, hizo clutch shots haziwezi kukupa u-MVP, ni supporting.
Basi Curry is the best for GSW... We shouldn't even be arguing about that... Huwezi ukasema a player shooting 30 points per game, averaging a 50% FG, 45% on threes and over 90% on Free throws sio best player... na Warriors bila Green inakuwa hurt defensively.. but usijidanganye kuwa Warriors can go winning without this guy's marksmanship. Watu mnatumia nguvu nyingi kupinga ubora wake huyu View attachment 435455
Mi ndo nashangaa aisee jamaa hawampendi curry sijui kwanini mi namkubali sana Bron But Curry is so special ana vitu adimu vitamu sana anakufanya uupende mchezo Wa basketball hasa kwa wale ambao sio fan Wa basket achilia mbali his charismaHata Jordan needed Scottie Pippen to be a star ili awe bingwa wa NBA.... Lakini haikumaanisha kuwa Jordan was not great.. mashabiki wa Cavs siku zote mnatafuta sababu za kuonyesha Curry sio mchezaji hatari and it's a bitter pill to you kuwa hata LeBron alishawahi kutweet kuwa the boy is just so special and out of this world.. endeleeni kuita Green ndo the real MVP hakuna shida. Namba zinajieleza. Hata LeBron needed Kyrie Irving to perform ni first games ili mbaki kwenye race and he needed him pia to hit a clutch winning shot.. Lakini utafikiri Lebron anafanya kila kitu... damn get to your basketball senses.. mnataka Curry akapost kwenye Center na awe anaaverage 16 rebounds au. Mbona wengine tunamkubali LeBron and that's it.
Na ni ndo mwenye GSW.. By the way attachment umeiona?Mkuu chukulia tu kama maneno ya kishabiki kama vipi, kuna ule msemo wa mti wenye matunda ndo unaorushiwa mawe.
Curry ni best shooter, hili sina ubishi nalo.