NBA 2016/2017 Season Special Thread

Does this change anything? Kwa hiyo kwenye Western Conference playoffs Spurs na Clippers hawakushiriki?

Just wanted to put records clear.

Chuki yako kwa Steph Curry imekupofusha kiasi usione performance ya Warriors kwenye playoffs mwaka jana dhidi ya timu ngumu za West kama Spurs, Rockets, Clippers, na Thunder hadi kutetea ubingwa kwenye Western Conference.

Sentensi yako hii inamaanisha GSWs went head to head against those teams! Kama nimekuelewa vibaya nisahihishe mkuu.
 
Just wanted to put records clear. Sentensi yako hii inamaanisha GSWs went head to head against those teams! Kama nimekuelewa vibaya nisahihishe mkuu.
Sawa nakubali, hata hivyo na mimi naomba nikusaidie kidogo...
  1. Apr 10, 2016 San Antonio Spurs vs. Golden State Warriors L 86 - 92
  2. April 7, 2016 San Antonio Spurs vs. Golden State Warriors L 101 - 112
  3. Mar 19, 2016 San Antonio Spurs vs. Golden State Warriors W 87 - 79
  4. Jan 25, 2016 San Antonio Spurs vs. Golden State Warriors L 90 - 120
Spurs...1-3
  1. Mar 23, 2016 Los Angeles Clippers vs. Golden State Warriors L 98 - 114
  2. Feb 20, 2016 Los Angeles Clippers vs. Golden State Warriors L 112 - 115
  3. Nov 19, 2015 Los Angeles Clippers vs. Golden State Warriors L 117 - 124
  4. Nov 4, 2015 Los Angeles Clippers vs. Golden State Warriors L 108 - 112
Clippers...0-4
 
Very True Mkuu. I still remember how CAVS shocked the Basketball World by their efforts to win it all.

Usihofu mkuu...[HASHTAG]#beentheredonethat[/HASHTAG]
 

Nimekusoma mkuu, naona umeamua kutanua goli ili hata mipira ya kutoka iwe magoli.

Tunazungumzia playoffs unaleta regular season.
 

Hembu niambie nani alikuambia team inayopewa nafasi ya kushinda ndio huwa inayoshinda? Hillary Clinton naye alikua anapewa nafasi ya kushinda and we all know what happened, ditto Warriors last season, "eti rudi darasani ukasome", nikasome nini? Simchukii Curry, nashangazwa tu na jinsi watu jinsi wanavyo freak out akifanya vitu wakati wa regular season huku tumeshamuona huyo Curry wakati wa playoffs huwa anapotea.
 
? Simchukii Curry, nashangazwa tu na jinsi watu jinsi wanavyo freak out akifanya vitu wakati wa regular season huku tumeshamuona huyo Curry wakati wa playoffs huwa anapotea.
Two straight finals ame-perform vibaya. Sasa mwaka huu kaongezwa na choker mwingine, patamu hapo. I can't wait for playoffs.
 
Hivi kibabu Jefferson sikuhizi ni starter wa Cleveland?? teh teh teh teh
 
Kevin Love alipata injury, ikabidi RJ acheze kwa muda mrefu...
Naona Stat padder amepigana mpaka kaondoka na Triple Double yake... Yeye hajali timu kufungwa anatafuta cha kuongelewa tu..

Only player I know who consistently has more field goal attempts than points.. Alafu mko hapa kutaka amweke nje Curry kwenye All Star Starters teh teh teh
 
Alafu mko hapa kutaka amweke nje Curry kwenye All Star Starters teh teh teh
Players and the media ndiyo wamemweka juu ya Curry. Fans ambao wengi hata basketball hawajawahi kucheza ndiyo wakampa Curry nafasi ya kuanza.
 
Players and the media ndiyo wamemweka juu ya Curry. Fans ambao wengi hata basketball hawajawahi kucheza ndiyo wakampa Curry nafasi ya kuanza.
Players na Media hawakosei.. Mbona media hizo hizo zilivyomchagua Curry kuwa MVP 2015 badala ya Mandevu mlichonga sana?? Ebu niwekee hapa FG % ya Russ na efficiency yake uilinganishe na ya Steph..

Kwa leo tu 7/26 and he was -19 on +/-... Mchezaji anayecheza apalilie stats zake bila kujali ushindi wa timu nae ni wa maana. Ndio maana hata aliyecheza nae misimu kibao alisema "Afadhali ameondoka kule kwa selfish guy"
 
Players wanawafahamu Curry na RW vizuri kuliko sisi sote. Who am I and who are you kupingana nao?

Aisee! Leo hadi unatumia +/- katika kumtetea Curry? Uliziponda nilivyozitumia kuonyesha Green ni wa muhimu kuliko Curry kwenye timu.

Kwanini selfish? Sasa kama yeye ndiye star player unataka afanyaje? He is leading in points scored, rebounds na assists; yet, unamwita selfish!!!

Aisee tena, yaani leo unatumia kigezo cha efficiency kumtetea Curry. Unakumbuka nilitumia kigezo hicho kusema Curry siyo efficient at shooting treys? Kwa sababu ana 3 point attempts nyingi mno ambazo anakosa.

Kweli mahaba niue. Yaani umeshasahau hivyo vigezo ulivikataa, leo unavitumia?!?? [HASHTAG]#maajabu[/HASHTAG]
 
Usimfananishe Steph na Mambo ya KIJINGA..!!!
[HASHTAG]#StephGonnaSteph[/HASHTAG]
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
 
Najua Hisabati ni ugonjwa wa taifa, Curry averaged 45.4% kwenye 3 pointers msimu uliopita... Yaani karibia nusu ya attempts zake amekuwa akipata alafu wewe unasema anakosa..

Hapo kwenye blue, hao hao Players walimpigia kura Curry ya hardest player to guard kwa misimu miwili mfululizo mpaka msimu ulioisha na hizo hizo media ndizo zimempa Unanimous MVP (First Ever), who are u to judge???

Hapo kwenye kijani; Star player maana yake ni kuwaacha wenzako wakiwa open na wewe kukimbilia attempt au attacking the rim hata kama unaona kuna defenders. Sijui kama unaangalia game za OKC au unaangalia stats tu google kama kawaida yako na kuja kupachika humu. Star player maana yake Point Guard kukimbilia rebounds kila mara hata bila ya kutaka majukumu hayo wayafanye wenzako ambao ni maalumu kwa kazi hiyo.. Point Guard unakuaje under the rim wakati unatakiwa uwe una mark outside?? Kama huo sio unoko na kupalilia stats ni nini??

Kwenye yellow; Curry amekuwa efficient ndio maana hao players unaowatetea kumchagua Russ ndio hao hao walimpigia Curry kura ya MVP kwenye awards zao cha NBPA.. Kuweka records za Curry anavyoibeba timu hapa ni kupoteza muda tu lakini last season ndiye scoring champion na kafanya vitu ambavyo vinaweza visitokee tena milele..

Hivi unajua Tristan Thompson +/- amemzidi Lebron James? Lakini kwani Tristan ni mchezaji muhimu sana kwenye timu kumzidi Lebron??
 
Hapo kwenye blue, hao hao Players walimpigia kura Curry ya hardest player to guard kwa misimu miwili mfululizo mpaka msimu ulioisha na hizo hizo media ndizo zimempa Unanimous MVP (First Ever), who are u to judge???
The NBA announced that Curry is the NBA Most Valuable Player award winner for the 2015-16, for the second consecutive year. While winning the NBA award, once again, is a monumental feat in its own right, Curry also became the first unanimous winner in the 61-years that the NBA has handed out the award.

The only first ever unanimous MVP! Haters walivyochukia...na hadi leo wameshindwa kuukubali huo ukweli.
 
And tonight, the dubs without Curry...ain't that nice? The answer is strenghth in numbers...well here we go!
 
Usimfananishe Steph na Mambo ya KIJINGA..!!!
[HASHTAG]#StephGonnaSteph[/HASHTAG]
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]

Mkuu huoni kama ni ujinga kutumia maneno ya kijinga mahali ambapo watu hawajadili ujinga?

Hili ni moja ya jukwaa ambalo kama tinatofautiana mitazamo tunaelezana kwa points, siyo kwa maneno ya kashfa kama unayokuja nayo, behave mkuu.

Kuwa kama uliowakuta humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…