Worry not bruh! Cavs are just coasting...hivi ndivyo Bron's teams ufanya...kama umeona, they are not spending too much energies on defensive end...ku-defend kuna drain players' energies. They are saving it for postseason...naona hata GSW wameanza kuiga, na game dhidi ya Spurs, wanapumzisha 4 of their starters..Cavs hivi vipigo sivielewi kabisa, naona kuna kitu wananitafuta si bure.
Nafasi kwenye playoffs? What you talkin about? Au ulimaanisha 1st seed?LeBron kaweka triple double ya nane lakini Detroit wakabana tu kwani hamna tena namna. Hakikisheni kwanza nafasi yenu kwenye playoffs ndio mruhusu vitimu kuwafunga kirahisi rahisi la sivyo ohoooo! Chukueni tahadhari...ni onyo tu.
Worry not bruh! Cavs are just coasting...hivi ndivyo Bron's teams ufanya...kama umeona, they are not spending too much energies on defensive end...ku-defend kuna drain players' energies. They are saving it for postseason...naona hata GSW wameanza kuiga, na game dhidi ya Spurs, wanapumzisha 4 of their starters..
SAS wakali mnooo.
...nahisi watu wengi wanasubiria playoffs tu sasa...maana Cavs na GSW zote zimesha-clinch playoff spots...humu hamna waangaliaj wa basket.. game zinaanza in the next hour n everybody z asleep!
bado regular season ina ladha.. kuna teams kama blazers bulls milwaukee miami pistons bdo hazijajihakikishia playoff spot so hz games zao za mwishon zinakua kali sana. personally I'm a big fan of Lillard so bdo nafatilia hz games 2 see how things end....nahisi watu wengi wanasubiria playoffs tu sasa...maana Cavs na GSW zote zimesha-clinch playoff spots...
Denver wako moto na leo wanamkalisha Cavs...bado regular season ina ladha.. kuna teams kama blazers bulls milwaukee miami pistons bdo hazijajihakikishia playoff spot so hz games zao za mwishon zinakua kali sana. personally I'm a big fan of Lillard so bdo nafatilia hz games 2 see how things end.
...ina ladha kwako, lakini siyo kwa wengi humu walio washabiki wa Cavs na GSW...yaani mtu aamke saa 7 ama 8 usiku [kwa Ulaya] au saa tisa ama kumi alfajiri [kwa Bongo] kwa ajili ya kuangalia hivyo vitimu ulivyovitaja?bado regular season ina ladha.. kuna teams kama blazers bulls milwaukee miami pistons bdo hazijajihakikishia playoff spot so hz games zao za mwishon zinakua kali sana. personally I'm a big fan of Lillard so bdo nafatilia hz games 2 see how things end.
lets wait n see.. ila kumbuka blazers iko behind denver kwa game moja tu.. denver akipigwa n blazers akishnda next game there's some hope.Denver wako moto na leo wanamkalisha Cavs...
Lillard play offs wajiandae mwakani, mwaka huu hawawezi kuwashusha Nuggets pale..
hivyo vitimu vinawakalishaga hao cavs gsw na spurs wenu kama kawa.. na mtu anaeangalia hizo big teams tu hajui basket....ina ladha kwako, lakini siyo kwa wengi humu walio washabiki wa Cavs na GSW...yaani mtu aamke saa 7 ama 8 usiku [kwa Ulaya] au saa tisa ama kumi alfajiri [kwa Bongo] kwa ajili ya kuangalia hivyo vitimu ulivyovitaja?
..kuwakalisha, and then what? Sawa wewe unayejua 'basket'...wengi humu tunajua basketball au b-ball...hivyo vitimu vinawakalishaga hao cavs gsw na spurs wenu kama kawa.. na mtu anaeangalia hizo big teams tu hajui basket.
tatizo ni kusema basket bila kumalizia ball? teh.. so anaesema anaenda ground kupiga kikapu kakosea? ulitaka aseme anaenda kupga mpira wa kikapu?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..kuwakalisha, and then what? Sawa wewe unayejua 'basket'...wengi humu tunajua basketball au b-ball...
Mna game nao 29 March na mtaicheza kwenu... Aisee katika game 12 alizobakisha Nuggets ana road trip ya game 5 ambazo tatu kati ya hizo anacheza na timu zinazogombea play offs spot, moja atacheza na Rockets ambao tayari wana uhakika na moja watacheza na NOLA... Alafu game 4 za mwisho atacheza na Pelicans ambaye anaweza kumwachia lakini ana OKC mbili na Mavs moja (Mavs nao wanaigombea hiyo 8 seed).lets wait n see.. ila kumbuka blazers iko behind denver kwa game moja tu.. denver akipigwa n blazers akishnda next game there's some hope.
well put, ila mi sio fan wa Blazers mi fan wa Lillard, napenda kumuona huyu jamaa akipga kikapu, one of the best point guards. hawawezi kufika mbali kwenye playoffs ila they're troublesome.Mna game nao 29 March na mtaicheza kwenu... Aisee katika game 12 alizobakisha Nuggets ana road trip ya game 5 ambazo tatu kati ya hizo anacheza na timu zinazogombea play offs spot, moja atacheza na Rockets ambao tayari wana uhakika na moja watacheza na NOLA... Alafu game 4 za mwisho atacheza na Pelicans ambaye anaweza kumwachia lakini ana OKC mbili na Mavs moja (Mavs nao wanaigombea hiyo 8 seed).
Blazers nao road trip mlishamaliza mna game 3 tu away kati ya 12.. Na game ngumu mlizobakiza ni 4 tu za Spurs, Rockets na Utah 2...
Mkikaza play offs mnaichukua lakini mtaishia first round..
Too bad yupo West... Hata All Star anaishiaga kuisikia tu..well put, ila mi sio fan wa Blazers mi fan wa Lillard, napenda kumuona huyu jamaa akipga kikapu, one of the best point guards. hawawezi kufika mbali kwenye playoffs ila they're troublesome.