NBA 2016/2017 Season Special Thread

Boston are superior as compared to Bulls, but in playoffs surprises do happen.

Sure, Boston are superior, am banking on Wade and Rondo's experience to lead Bulls past Celtics.
 
Reactions: BAK
Mie utabiri wangu wa katika round ya kwanza games ambazo zitakuwa na ushindani mkubwa ni Eastern Cavs na Pacers na Western Rockets na Thunder. Hizi games zinaweza kwenda mpaka game 7.
 
Mie utabiri wangu wa katika round ya kwanza games ambazo zitakuwa na ushindani mkubwa ni Eastern Cavs na Pacers na Western Rockets na Thunder. Hizi games zinaweza kwenda mpaka game 7.

Yes hizi zaweza fika game 7. Kuna watu wanawachukulia poa Pacers ila addition ya Lance Stephenson inafanya mambo yawe magumu zaidi. Na kuhusu vita ya MVPs hap ni moto wa kuotea mbali. Am rooting for OKC but that Rockets bench is very scary.
 
Game ya Cavs vs Indiana sioni kama itaenda zaidi ya game 5.

George hana supporters ambao wanaweza kuleta upinzani kwenye playoffs.
 
This one too will be very competitive but Spurs will prevail.
Yes Spurs have Gregg Popovich and Kawhi Leonard who is a stud in both offence and defense. They will suck the air out of Memphis.
 
Reactions: BAK
Chance ya okc kumsumbua rockets ni ndogo sana Rockets wako vizuri mno na hua wakiamka vizuri 3 zinashuka kila upande
 
Portland vs GSW will have a bit of excitement but at the end of the day GSW have too much firepower. Lillard will pick one game to put the fear of God into Curry's heart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…