NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA Playoffs: Russell Westbrook fined $15K for using inappropriate language while addressing media after Game 2 loss.
 
Kilinge kina watu wengi pia siku hizi safi sana.. Lakini muda wangu wa kuvurugana na Raimundo Nzi Tyta Steph Curry Mag3 utafika tu.. bado kidogo gari halijashika moto Ambitious karibu sana ila naona unagive up mapema sana. Mwaka jana usingekaa humu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Asante sana kaka....niko siku nyingi kidogo humu,wakati mwingi nilikuwa natazama tu na kujifunza mapya. I happen to be a bit less argumentative. If we are not discussing facts then we aren't discussing at all.

But I won't let anybody give me the rookie treatment...take that for data!!! (paraphrasing the words of Professor David Fizdale from the University of Memphis) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha jamaa anasema atacheck kama NBA inaruhusu robots kuplay (concerning Kahwi). "He bleeds Anti-freeze"
 
Hahaha jamaa anasema atacheck kama NBA inaruhusu robots kuplay (concerning Kahwi). "He bleeds Anti-freeze"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yule ana chembechembe za uroboti. He doesn't show any emotions whatsoever...haujui ni wakati gani yuko kwenye zone au hayuko...by the time unashituka you are already bleeding your guts out. Silent butcher!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yule ana chembechembe za uroboti. He doesn't show any emotions whatsoever...haujui ni wakati gani yuko kwenye zone au hayuko...by the time unashituka you are already bleeding your guts out. Silent butcher!!
Yaani jamaa ni ile type ya old school cerebral assassin that prowl without a sound.
 
Warriors wanafundishwa game na Trail Blazers...they are being set ablaze and my, are they burning... poor GSW!
 
Go Steph...
Go Draymond...
Go Klay...
Go Iggy...
Go McGee[emoji22] [emoji22]
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
 
He he he...
Asante Steph...
Asante Klay...
Asante Iggy...
Asante Draymond...
Asante McGee[emoji23] [emoji23]
Kwa kunifanya niwe na Jumapili nzuri kabisa..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
[emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Nimewavulia kofia Warriors...hii ni come back ya kiheshima, sikutegemea kabisa Blazers kulala leo.
warriors were just playing around.. wameona comeback ya Cavs imemek headlines so they did the same thing, they trailed on the first half on purpose. c unajua wanapendaga kiki [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…