Kina IlyasovaHizi 3pts walizopiga sixers sio mchezo
Kina Ilyasova
Hahaha
Si mchezo
Embiiid! HahahaEmbiid anapenda sifa...76ers wamepiga 12 point
Embiiid! Hahaha
Amenichekesha sana
Ila 3pts lazma ziwaue boston halaf turnovers zimekuwa nyingi sana now
Yeah nadhani ike poster alert ya Embiid ba 3 points za Belineli zime wauaCeltics kama wamepanic
This game is unbelieavable
My God!
Sixes wana faida nadhani kina Brown wana fauls 5Very entertaining and back and forth. I believe Sixers will take this one. I want them to win this one.
Sixes wana faida nadhani kina Brown wana fauls 5
Wasipo shinda hii ni wazembe, ila hii mechi ni balaa
Walihisi 3pts kumbe 2Philly wamerusha hadi fataki kisa kwenda overtime
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahaGame over!
Sixers wajiandae waje mwaka ujao.
Naimagine waliokuwa uwanjani hii game ilivyokuwa tamu.