Mweusi Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 332
- 322
Slim ripperWarriors bwana, wana mambo ya ajabu kweli. Baada ya splash brothers kubanwa, wakampa kibarua KD na yeye akaamua kuwaua Cavs single handedly. Mwisho wa mchezo Warriors: 110, Cavs: 102! KD peke yake akafunga 43 huku Curry akiambulia 7 tu mchezo wote!
Mtoto halali na hela..!
Ahahaaaaaaah..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
Hii clevaland timu nzima ni king james tu, bila ya lebron wanapapatikana tu uwanjani.Game ya upande mmoja mi naona NBA team zote waungane wote kutafuta timu moja ya kupambana na GWarriors...Clevaland hawana uwezo
"Kelvin Durant put the kids to sleep"Kelvin Durant from downtown
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuna mwingine utamsikia akisema mtoto halali na pesa na ulala na mavi"Kelvin Durant put the kids to sleep"
Ahahaaaaaah...
Commentators wengine wakuda sana..!!!
Ingawa hii haikusemwa CAVs walipozitoa Raptors kwenye semis na Celtics kwenye finals na kutwaa ubingwa wa EC...😉!Cavs weren't supposed to go to Finals...
Nyingine ni ya huyu jamaa anayedai kuwa spelling sahihi ya Cleveland ni KlevelanD kwa hiyo hakuna cha ajabu KD kui-contain hiyo timu!Kuna comments huwa zinachekesha sana, eti "Can't spell Cavaliers without the L Can't spell Warriors without the..."
It'd be too much if all three KD, Steph and Klay got hot...yeah, that would be real unfair!Fun fact: after Ray Allen hit 8 three-pointers in the finals, he went 0/8 the next game. Steph just got the bad end of the curse. Next game he'll spring back.
Ni ukweli kuwa huko Eastern hakuna ushindani, ni maguvu guvu tu...!Isaiah Thomas alitroll last week kuwa Cavaliers anapigwa SWEEP. Naona kama kinaelekea kutokea!.