Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Bron anabaki Cavs. Big trades and free agencies will happen.Swaiba Wang Nzi LeBron atakubali kubaki Cleveland?
Anaweza akaanza retirement kwa kwenda kucheza LA tu sasa.. CP3 anataka Max Deal kule Houston sidhani kama LeBron atakubali paycut unless Houston wamwache CP3.. Ni wazi hawezi kwenda Sixers or any team in East, ataogopa watamtroll he can't compete in West
Tunasubiri kushuhudia..!
Halftime: 61-52 na sasa tunasubiri kile kipindi (3rd Qr) ambacho Warriors hukitumia kuwasulubu wapinzani wang'ang'anizi kama Cavaliers πππ!Steph Curry..!!!
Ahahaaaaaaaah..!
Huyu kijana bhana..!
Anaufanya huu mchezo uonekane rahisi sana..!
Hivi ashawahi kukosa.huyu jamaa hizi free throwMag3
Mkuu...
Naenjoy sana nikimwona Durant anatupia Free Throws..!
Yaani inaonekana kama anajirushia tu mpira, mpaka najiuliza inawezekanaje mtu akawa na ufanisi katika free throws kiasi hiki..!?
Ahahaaaaaaah...Hivi ashawahi kukosa.huyu jamaa hizi free throw
Bahati yao Cavs, wamemfanyia fitna Klay. Kwa Free Throws mpaka sasa Warriors wamepewa tatu tu na wako 100% hawajakosa hata moja huku Cavs ambao mpaka sasa wamepewa tisa wamepata asilimia 62% tu. KD na Curry ndio wanaongoza kwa kuwa perfect kwenye FTs.Mag3
Mkuu...
Naenjoy sana nikimwona Durant anatupia Free Throws..!
Yaani inaonekana kama anajirushia tu mpira, mpaka najiuliza inawezekanaje mtu akawa na ufanisi katika free throws kiasi hiki..!?
Yeeeeees..!Halftime: 61-52 na sasa tunasubiri kile kipindi (3rd Qr) ambacho Warriors hukitumia kuwasulubu wapinzani wang'ang'anizi kama Cavaliers πππ!
Hahahah mi naona jamaa huwa hakosiAhahaaaaaaah...
Anakosaga chief..!
Coz sometimes inabidi akose tu,ili watu tuamini kuwa na yeye ni binadamu wa kawaida..!
Kwa FTs, Curry ndiye anaongoza kwenye NBA hadi sasa, KD ni wa tatu au wa nne!Hivi ashawahi kukosa.huyu jamaa hizi free throw
Akirusha ni moja kwa moja kwa tenga..!Hahahah mi naona jamaa huwa hakosi
Waliogopa kuchungulia 3rd Quarter na ndio imeisha hivyo....86-65. Nakuambia Warriors ni hatari tupu!
Hii picha inaweza kuwapa moyo kidogo..!Waliogopa kuchungulia 3rd Quarter na ndio imeisha hivyo....86-65. Nakuambia Warriors ni hatari tupu!