NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Lakini Celtics waliwaondoa 76er 4-1 kwenye playoffs without the two stars

Growth and experience matters, as time goes on kina Ben Simmons uzoefu unaongezeka, they have like a year or two kudominate East.
 
Nimeona moja katika page wanadai Russell ana majeraha katika goti. Lakini sio sababu, hawa OKC mpaka Half Time inafika uking'o walikuwa wanazidiwa points 10. 3th quarter wamecheza mchezo safi kabisa mpaka 3th quarter inaisha walikuwa wanazidiwa points 3 kama sikosei. Ni matumaini yangu 4th Quarter wangekaza vilivyo waondoke na ushindi. Jamaa yangu Russell West naona alikuwepo kama kocha vile [emoji23][emoji23]
Russell Westbrok hakuwepo uwanjani leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…