Lakers nimeanza kuishabikia tena baana lebron kujiunga nao,nakumbuka kipind cha kobe nilikua nawakubali sanaWamewapiga mara mbili ila ilikuwa pre season. Leo wako na Blazers unaweza wapa ushindi, ila kule Blazers kuna jamaa mmoja anaitwa Lillard ni noma.
Ngoja mziki wao Playoffs.
Lakers nimeanza kuishabikia tena baana lebron kujiunga nao,nakumbuka kipind cha kobe nilikua nawakubali sana
Ngoja mziki wao Playoffs.
Demarcus Cousins bado hajapona, kile chuma wamekiweka kwa Playoffs.Yule jamaa walio msajili mbona kila siku benchi?
yah yah ile ya mwaka huu waliokutana nayo toka New Orleans naweza kusema bahati mbaya tu. Mimi binafsi bado nawaamini Blazers na watawapiga Lakers kesho kutwa.Blazers huwa wananikera sana yaani kila siku wanakomea play off tu.
kama Cavs walivyokuwa maadui wa GSW bila shaka na Lakers mtaanza kuichukia GSW maana ndio timu pekee yenye vichwa vulivyozima jina la LeBronLakers nimeanza kuishabikia tena baana lebron kujiunga nao,nakumbuka kipind cha kobe nilikua nawakubali sana
Portland 128 vs Lakers 119
Mziki wa Portland si wa kitoto
Lakers are good though, I see them beating Houston the next game. Houston aren't serious as always.
Mkuu naomba matokeo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona walipanic hadi wakarusha ngumi,Portland 128 vs Lakers 119
Mziki wa Portland si wa kitoto
Lakers are good though, I see them beating Houston the next game. Houston aren't serious as always.
Hahaha! mechi ilikua ngumu balaa lakini Harden si mtu mzuri kabisa zile 3 pointer alikua anazizamisha kama anafanya mchezo tuIngram,chriss,rondo View attachment 905867
Hahaha! mechi ilikua ngumu balaa lakini Harden si mtu mzuri kabisa zile 3 pointer alikua anazizamisha kama anafanya mchezo tu
Lebron au Harden?Leo James hakuna alicho fanya, kacheza hovyo sana
Huyu dogo ingram vipi?Ingram,chriss,rondo View attachment 905867
Lebron au Harden?
3 pointer za James Harden ndo zimewaua Lakers utasemaje kacheza ovyoJames
Huyo mbona mchezaji mzuri ila tatizo ni hiyo timu anayoichezea tu ndo magumashi... angepata timu kama Milwaukee Bucks ingependa sanaKuna huyu mtu anaitwa Kemba Walker ni wakumtizama sana msimu huu. Jamaa yuko kwenye kiwango kizuri mno anafurahisha kumtizama