NBA 2018/2019 is here...

Hatujui huyu atulie
Curry ndio messi wa basketball
Sent using Jamii Forums mobile app

Baada ya kumleta KD kwenye team, Curry mvuto umepotea sana.

Ndo maana unaona hata All Stars fan votes Luka Doncic alimpita.

Curry was real kipindi kile misimu ya 2014/15 na 2015/16 wakati anavunja vunja records za 3 points na ile ya Bulls 72/10.
 
The Bucks went on to defeat the Pistons 121-86 behind 24 points and 17 rebounds from Giannis Antetokounmpo. All told, the Bucks had seven different double-figure scorers -- the most in a single game in their past 20 seasons. Antetokounmpo had already posted a double-double by halftime.

Huyu Antetokounmpo familia yao wote wanacheza kikapu. Kunammoja nilimuona euroleague kitu kama panathinaicos
 
Amka achana na ndoto za mchana. Huyo GSW atachakazwa zibaya mno na Oklahoma first round ya play off.

MGC
MKuu natumai umeshaamka sasa na unashuhudia jinsi OKC anavyochakazwa na Portland. Tangu KD ahamie GSW, OKC hawajawahi shinda Playoff series yoyote.
 
game za mwisho hua wanapoteza, last season they lost to Jazz by 40 something
 
Off Record; Okc been so underwhelming since the all star break.. They literally used all their talent on the first 55 games [emoji51]
 
MKuu natumai umeshaamka sasa na unashuhudia jinsi OKC anavyochakazwa na Portland. Tangu KD ahamie GSW, OKC hawajawahi shinda Playoff series yoyote.
Ila KD ni mnyama. He literally take over in game 3 and 4 against clippers. Doing his things
 
Yaani hii game Jazz akizingua kidogo biashara yake nayeye itaisha. Yaani baadhi ya wachezaji maamuzi yao mpaka unajiuliza huyu ni pro kweli. Consistency ni shida.
 
Yaani hii game Jazz akizingua kidogo biashara yake nayeye itaisha. Yaani baadhi ya wachezaji maamuzi yao mpaka unajiuliza huyu ni pro kweli. Consistency ni shida.

Third quarter wamezingua, sidhani kama watapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…