NBA: Anguko la Lebron James-Rising of new star ,Giannis

Ungesubiri angalau achukue ubingwa ndio uandike.
Yani ulushindwa kuona kuwa Giannis anaenda kuchukua! Are basketballer ? Shaq,Jordan,Lebron nk wote walimsoma dogo kwenye game5 kuwa ni noma.
Kuna debate moja ya manguli walikuwa wanasema Giannis hakabiki halafu ni deffender wa hatari weakness yake ni jump short na 3point.
Kwa mimi binafsi penetrafion ni dificult kuliko jump dhort na 3point.
Hara mediocre player anaweza kuongoza ufungaji kwa jump short.
If you can penetrate and score that is what basketball and gifted can do it and for everybody!
Phonex wanategemea zaid jump short na 3point. Ngoja tufuatilie statistics za leo.
 

Hahahaha yani kama mimi hii mechi nimezima tv mara kibao nakwenda kulala narudi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] sasa ndo nataka niiangalie replay bila stress[emoji16]. Giannis sasa amepata respect anayostahili hawa media pundits wamembania sana Gianis, aibu yao! Now they will respect him watake wasitake.
 
RACISM! USA inadumisha watu wake dhidi ya mataifa mengine. Giannis anatoka ulaya, hawataki Ulaya idominate media za USA wakati ulaya huwa wanabalance story mfano premier league wachezaji hupewa nafasi wanayostahili ndio maana leo akina sedio mane wame excel.
Wamarekani wanajiona wao ndio mungu wa dunia kumbe kuna mungu mwingine.
 
Blocked by antekounmpo......... jamaa wakampime mkojo mechi ya leo 50pts.
 
Huyo Giannis kweli ni wa moto, toka msimu uliopita anavunja rekodi tu mpaka msimu huu bado anawakimbiza, mgiriki ana kipaji haswa.
 
Huyo Giannis kweli ni wa moto, toka msimu uliopita anavunja rekodi tu mpaka msimu huu bado anawakimbiza, mgiriki ana kipaji haswa.
Kuna watu wanatabiri anaweza kuja kuingia top 5 of GOAT kama atakaza uzi na asipate injury.
Ngoja tumpe muda, muda huongea isije ikawa kama Thabiti wetu misimu kadhaa tu chali.
 
Gianni's kashinda tuzo karibia zote za NBA isipokuwa moja Ile ROY zingine zote kubwa kazikomba .

Na ring juu
 
Amesha kuprove wrong [emoji1]
 
Stephen A[emoji1]
 
Amesha kuprove wrong [emoji1]
Nawasiwaasi na huyu jamaa kama anajua kikapu. Yani alimtilua mashaka up rising star.
Siku za nyuma nilikuwa namuangalia Zion Willuams kana nyota ibayokuga oka huhu doga kamfunika.
Giannis hakuna anayeweza kumkaba. Team ikiboreshwa zaidi tutarajie mengi.
 
Naona Huu Uzi umejaa wabeba box
Tupi bush kabisa mkuu ola streming inatusaidia.
Ndoti zetu za kufika NBA ziliishia kariakoo tumebaki kushabikua tu mkuu. Bongo kikapu nikwa ajili ya kuchukulia mademu wazuri basi. Acha tuvae jezi za Giannis anapendwa hata uchina mkuu,usitaje ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…