Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hii ni habari mbaya kwa washabiki wa GSW waliotegemea kupambana na Lakers msimu huu baada ya kuburuza mkia kwa sababu za majeruhi msimu ulioisha.
Tuendelee kusubiri mpaka msimu mwingine tena, ila kwa mtazamo wangu GSW is no more in terms of a competitor.
Tuendelee kusubiri mpaka msimu mwingine tena, ila kwa mtazamo wangu GSW is no more in terms of a competitor.