Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,728
Habari za wakati huu wapenzi na wafuatiliaji wa mchezo huu wa kikapu nchini Marekani!
Ni dhahiri tangu kumalizika kwa finals mwezi uliopita timu nyingi zilijizatiti na kuhakikisha zinatumia mianya ya Draft, Free Agency na trades katika kusuka roster bora kabisa.
Tumeona baadhi ya timu zikiwakosa wachezaji wao pendwa huku baadhi ya timu zikinufaika kwa kupata wachezaji bora kabisa.
Msimu ujao utakuwa na mengi ya kuyaangalia, hasa mafanikio ya baadhi ya timu zilizofanikiwa kupata super stars.
Licha ya Lakers kufanikiwa kum-sign Anthony Davis ili aungane na LeBron James, timu ya Clippers ambayo imekuwa ikisiwa kwa kuwa na bench players wazuri wamefanikiwa leo hii kuwapata two All-star players today, which is to mean Clippers are going to be a threat next season.
Je, we ni fan wa timu gani ? And which team are you excited to watch next season ?