Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Nakubali mkuu...hii gemu ya leo ni kali labda achoke mtu tu.Hawa jamaa naona hawaachani kabisa sekunde dakika za mwisho mwisho za 1st QTR tofauti ya 2 points.
Nakubali mkuu...hii gemu ya leo ni kali labda achoke mtu tu.
As it is, nguvu sawa.
Halftime na Lakers wako juu by 10pts...kazi ipo.Lakers wameshaanza kukata mbuga sasa 10 points lead.
Q4 has been poor for both teams
Game over 100-75 LAL. Magic kama wanataka ku-compete itabidi waraise game yao kwa sana mno. They are playing way far from Eastern Champs should be..lol