NBA inaendelea hali ni ngumu sana kwa timu Vigogo

NBA inaendelea hali ni ngumu sana kwa timu Vigogo

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
New orleans 128
LA lakers 111 Leo.

[emoji81][emoji119] Lakers fans nawatarfu tu.. mmefungwa tena. Lakers without James Sio horrible kbsa. One man out and whole team collapses

Eti 4 pts total in 2nd quarter?! Yea... I think it's safe to say that this Lakers is utter garbage without Bron and Ad[emoji23][emoji23][emoji23]. Kcp for better 3pt shorter lmfa [emoji50][emoji50]. Ila I'm starting to doubt Alex Caruso [emoji119] BAK Nyani Ngabu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
ni kama season iliyopita kilichowatokea GSW,key players curry, Thomson,etc walivyopata injury...
 
Kwani ikishinda mechi ya basketball una pata point ngapi mpaka uongoze ligi
Swali lako halieleweki. Kwani football ukishinda point ngapi mpaka uongoze ligi?. Hautapata majibu ya maana
 
Kwani ikishinda mechi ya basketball una pata point ngapi mpaka uongoze ligi

Nakupa ufafanuzi kwa kufata mfumo wa NBA.

Timu ziko 30, zimegawanywa 15 East Conference, 15 West Conference.

Kila timu inacheza game 82 (msimu huu itakuwa 72 kwa sababu ya corona).

Baada ya hapo wanahesabu idadi ya game ulizoshinda na kuweka grades.

Kwa kila conference (kanda) zile 8 za juu kwa kushinda game nyingi zitacheza mtoano, yaani 8 za East zitapambana zenyewe kwa zenyewe (playoffs) mpaka apatikane bingwa wa East, na kwa West hivyo hivyo.

Mwisho kabisa bingwa wa East anacheza na wa West kutafuta overall NBA Champion.

Note: kwenye basketball hakuna kutoka draw, mkilingana dakika zinaongezwa mpaka mshindi apatikane.
 
New orleans 128
LA lakers 111 Leo.

[emoji81][emoji119] Lakers fans nawatarfu tu.. mmefungwa tena. Lakers without James Sio horrible kbsa. One man out and whole team collapses

Eti 4 pts total in 2nd quarter?! Yea... I think it's safe to say that this Lakers is utter garbage without Bron and Ad[emoji23][emoji23][emoji23]. Kcp for better 3pt shorter lmfa [emoji50][emoji50]. Ila I'm starting to doubt Alex Caruso [emoji119] BAK Nyani Ngabu

Huujui mchezo wa basketball bro, jaribu kuufatilia vizuri kabla hujaja na comments za kushangaza.

AD na LeBron ni franchise players (maximum contact players). Ni timu gani ambayo kwa kufatilia kwako ilikuwa na matokeo mazuri pale star players 2 wanapokuwa nje?

Eti unamtaja KCP, Caruso!
 
ni kama season iliyopita kilichowatokea GSW,key players curry, Thomson,etc walivyopata injury...

Basketball ni mchezo ambao timu ina wachezaji tegemezi, na hao unakuta ndo wanaongoza hata kwa malipo.

Sasa ikitokea wawili wakawa nje, tayari timu haiwezi kufanya vizuri.

Kama ulivyoandika hapo GSW walikosa ubingwa mwaka juzi dhidi ya Toronto Raptors baada ya KD na Klay kuwa nje, msimu uliofata hata playoff hawakucheza.

Hakuna timu NBA ambayo inaweza kushinda mechi nyingi kama top 2 players ni majeruhi, hakuna.
 
Nakupa ufafanuzi kwa kufata mfumo wa NBA.

Timu ziko 30, zimegawanywa 15 East Conference, 15 West Conference.

Kila timu inacheza game 82 (msimu huu itakuwa 72 kwa sababu ya corona).

Baada ya hapo wanahesabu idadi ya game ulizoshinda na kuweka grades.

Kwa kila conference (kanda) zile 8 za juu kwa kushinda game nyingi zitacheza mtoano, yaani 8 za East zitapambana zenyewe kwa zenyewe (playoffs) mpaka apatikane bingwa wa East, na kwa West hivyo hivyo.

Mwisho kabisa bingwa wa East anacheza na wa West kutafuta overall NBA Champion.

Note: kwenye basketball hakuna kutoka draw, mkilingana dakika zinaongezwa mpaka mshindi apatikane.
Nashukuru
 
Lakers loose again against Brazzers as usual Letting Danny Green Shoot Them 3's [emoji1751][emoji1751][emoji1751].... Daaah So Much Turn Overs with Soo much bricks shots... Lakers need help from the Avangers Now [emoji1787][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mkuu Unazungumziaje Mechi Ta Brazzers na Lakers

Lakers are short-handed, yeyote anaweza kuwafunga kwa sasa.

Cavs na Andre Drummond wanamaliza buyout process, ambapo jamaa atajoin Lakers, AD atarudi kabla ya LeBron, nina uhakika watabaki kwenye playoffs.

And then, Lakers will eventually win the West to set a final vs Nets/Sixers.

Utah/Denver/Suns sioni wakiitoa Lakers kwenye playoffs, labda kidogo Clippers.
 
Back
Top Bottom