Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Leakers without LBJ and AD look like the clippers of the 90's... What a joke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napita tu.
Milwaukee leo yupo Dimbani. Hajawahi kuniangusha
Kwani ikishinda mechi ya basketball una pata point ngapi mpaka uongoze ligiInaelekea Mashabiki Wa Huu Mchezo Huku JF Ni Wachache....! Siwaoni Watu Wakishobokea.
Swali lako halieleweki. Kwani football ukishinda point ngapi mpaka uongoze ligi?. Hautapata majibu ya maanaKwani ikishinda mechi ya basketball una pata point ngapi mpaka uongoze ligi
Point tatu timu ikishinda sasa kwenye basketball ni point ngapi timu ikishindaSwali lako halieleweki. Kwani football ukishinda point ngapi mpaka uongoze ligi?. Hautapata majibu ya maana
Ungeuliza timu ikishinda mechi moja inapata points ngapi?.Point tatu timu ikishinda sasa kwenye basketball ni point ngapi timu ikishinda
Kwani ikishinda mechi ya basketball una pata point ngapi mpaka uongoze ligi
New orleans 128
LA lakers 111 Leo.
[emoji81][emoji119] Lakers fans nawatarfu tu.. mmefungwa tena. Lakers without James Sio horrible kbsa. One man out and whole team collapses
Eti 4 pts total in 2nd quarter?! Yea... I think it's safe to say that this Lakers is utter garbage without Bron and Ad[emoji23][emoji23][emoji23]. Kcp for better 3pt shorter lmfa [emoji50][emoji50]. Ila I'm starting to doubt Alex Caruso [emoji119] BAK Nyani Ngabu
ni kama season iliyopita kilichowatokea GSW,key players curry, Thomson,etc walivyopata injury...
Gsw msimu huu wamepigwa na lakersni kama season iliyopita kilichowatokea GSW,key players curry, Thomson,etc walivyopata injury...
NashukuruNakupa ufafanuzi kwa kufata mfumo wa NBA.
Timu ziko 30, zimegawanywa 15 East Conference, 15 West Conference.
Kila timu inacheza game 82 (msimu huu itakuwa 72 kwa sababu ya corona).
Baada ya hapo wanahesabu idadi ya game ulizoshinda na kuweka grades.
Kwa kila conference (kanda) zile 8 za juu kwa kushinda game nyingi zitacheza mtoano, yaani 8 za East zitapambana zenyewe kwa zenyewe (playoffs) mpaka apatikane bingwa wa East, na kwa West hivyo hivyo.
Mwisho kabisa bingwa wa East anacheza na wa West kutafuta overall NBA Champion.
Note: kwenye basketball hakuna kutoka draw, mkilingana dakika zinaongezwa mpaka mshindi apatikane.
Nashukuru
Mkuu Unazungumziaje Mechi Ta Brazzers na LakersPamoja mkuu
Mkuu Unazungumziaje Mechi Ta Brazzers na Lakers