Aaaaaah Nba Hatari, Houston Rockets Kafa Mbele Ya Memphis Grizzlies, Raps Nao Wamepigwa Pia ,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lakers are short-handed, yeyote anaweza kuwafunga kwa sasa.
Cavs na Andre Drummond wanamaliza buyout process, ambapo jamaa atajoin Lakers, AD atarudi kabla ya LeBron, nina uhakika watabaki kwenye playoffs.
And then, Lakers will eventually win the West to set a final vs Nets/Sixers.
Utah/Denver/Suns sioni wakiitoa Lakers kwenye playoffs, labda kidogo Clippers.
Kocha Mkuu
Naona Kama NBa Ni Ligi Ambayo kwa Sasa ni randomly assigned hv. Kwahiyo timu 5 kutokea kila div Zitacheza na timu 5 nyingine kutokea Inter conf twice at home.
Na hizo nyingine 5 Zitacheza vilevile twice on the road(away). The winner of the game btn the teams with 7th&8th highest winning % wl Lan no. 7 in the conference.
Atakayepoteza hapo akutane na mshindi Kati ya timu yenye 9th&10th highest winning %..
The winner of that game earn the eight&final playoff [emoji1602][emoji459][emoji459][emoji459]
MkuuHapo sijakusoma Mkuu. Play-in format ni kwa zile timu zilizoshika nafasi ya 7 - 10 kwa kila conference.
Sijafatilia ni kwa jinsi gani wame squeeze schedule kupata game 72 za regular season.
Before kwa 82 games ilikuwa hivi:
(Copy & Paste)
There are 15 teams in a conference, and after a team plays against all four teams in their division, there are still 10 opponents left. Then, a five-year rotation decides which of those teams are played against four times and which teams are played against three times.
- Each team has to play four games against the other four teams in their division (16 games in total)
- Four games against six out-of-division conference teams (24 games in total)
- Three games against the other four teams in the conference (12 games)
- Two games against all teams in the opposing conference. (30 games)
Mkuu
What I know ni kwmba, Its basically a mini tournament to get into the playoffs. Its usually the 1-8 seeds in each conference but the NBA is changing things a little. 7vs8 for 7 seed. 9vs10. Winner of 9vs10 plays loser of 7vs8 for 8 seed. Seed basically means position in standing so for 8th place.
Kwa kuongezea tu kila timu zinapoingia uwanjani zote huwa na point moja yani match ikiisha lazima unapoint moja sasa timu itakayoshinda vikapu vingi kwenye mchezo husika inakuwa na point mbili kwa mchezo mmoja na ikishinda match inayofata inakuwa na point nne hivyo hivyo hadi inatangazwa kuwa bingwaNashukuru
Kwa hiyo kila mchezo unaenda pointi moja moja tuKwa kuongezea tu kila timu zinapoingia uwanjani zote huwa na point moja yani match ikiisha lazima unapoint moja sasa timu itakayoshinda vikapu vingi kwenye mchezo husika inakuwa na point mbili kwa mchezo mmoja na ikishinda match inayofata inakuwa na point nne hivyo hivyo hadi inatangazwa kuwa bingwa
Ukishinda unakuwa na mbili mwenzako anabaki na moja yakeKwa hiyo kila mchezo unaenda pointi moja moja tu