NBA Original Thread: Basketball & Fun

Milwaukee Bucks ni timu underrated sana sasa natabiri privided hawa watu watakua healthy wanatetea ubingwa

Giannis Antetokounmpo
Khris Middleton

Jrue Holiday

Brook Lopez

Hawa Jamaa wana chemistry ya hatari
Sure kabisa.alafu wana advantage ya mwili, pia wote wako defensive...
 
Msimu huu Nets wana nafasi kubwa ya kubeba
Majeruhi tu labda ndo yawafelishe..
Mbona niliwaona game Yao moja ya pre season( though sio Sawa kuwajudge Kwa game 1) nawaona wachovu Tu....na pia sakata la Kyrie Irving khs covid itawafelisha at some point
 
Mbona niliwaona game Yao moja ya pre season( though sio Sawa kuwajudge Kwa game 1) nawaona wachovu Tu....na pia sakata la Kyrie Irving khs covid itawafelisha at some point
Vp ww unawapa karata ya ubingwa nani?
 
I believe in strengh in numbers

Pretenders wengi sana nowadays

Five straight finals sio easy jamani

Watoto wa Bay area wata bounce back

They are thirsty for the ring

Klay wanna make it really ,he missed balling

Curry have to add another ring to cement his legendary and future hall of fame candidacy.

The bench full of young players they wanna get a taste of being in a real championship team

Majeruhi yatupitie mbali
 
Kama Jordan Poole ana moto sasa hivi..anagonga 3s kama hana akili.
 
Kuna gem ninaona wanacheza kila quarter dk 10 hii ikoje au ni kanuni tu wanaamua kuweka wao wenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nba ndio walio introduce basketball duniani..na walianza na 12min per quarte... lakin fiba walivyokuja wakabadilisha hizo rules ..sio tu 12min..hata ile rule ya kumlimit big man kukaa ndani ya D kwa muda mrefu...
Halafu NBA naona kuna vitu tunapishana nao ikiwemo hizo dakika na pia naonaga mchezaj akipokea pasi km anapiga hatua ambazo huku kwetu ukifanya inakuwa umetembea (walking) hata rims zao naona kama ni fupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezaji akifanyiwa kosa(foul) wakati anajaribu kufunga(in the act of shooting) atapewa mitupo huru(Free throws) mi3/mi2 kulingana na eneo alilokuwa wakati akijaribu kufunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atapewa mtupo huru m1 kama pamoja na kufanyiwa kosa bado alifanikiwa kupata goli.
Yule mchezaji aliyefanya kosa atarekodiwa kwenye karatasi ya magori(score sheet). Kosa hili litakuwa kwanza ni lake (personal foul) lakini pia litakuwa kwa timu yake( team foul)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…