NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

...and who is the hero? LOL! I love this game too
 
UNBELIEVABLE.....this must be championship points
 
Artest won for champs..he was horrible all day saving energy for last breath
 
hii series itaenda hadi game7,LAKERS winning it 4-3.they have too much fire power for PHX
 


Head coach Phil Jackson of the Los Angeles Lakers reacts to a play against the Phoenix Suns in the third quarter of Game Five of the Western Conference Finals during the 2010 NBA Playoffs at Staples Center on May 27, 2010 in Los Angeles, California.








 
Ariza is a better player than Artest, i agree. Pengine Ariza na LAL walishindana mafao .

Ariza alitaka sana kubaki LAL, lakini agent wake ndo alisababisha Ariza aondoke kwa sababu ya mafao. Agent wa Ariza alijua baada ya mchango mkubwa sana kwenye ubingwa wa mwaka jana, LAL wangekuwa tayari kukata fungu kubwa, wakagoma na wakati wanagoma tayari agent alishaanza deal nyingine na Houston. Ndiyo LAL wakaamuakumtema na kumchukua Artest.

It is very true kwamba Ariza ni mchezaji mzuri sana na alichangia sana kwenye ubingwa wa msimu uliopita ni defender mzuri na pia anaweza kufunga vikapu vingi na in most games alikuwa consistent. May be ndiyo maana Luke Walton alimuomba Phil Jackson awe starter badala yake.
 


The Phoenix Suns huddle together in the second quarter of Game Five of the Western Conference Finals against the Los Angeles Lakers during the 2010 NBA Playoffs at Staples Center on May 27, 2010 in Los Angeles, California.




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…