Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
- Thread starter
-
- #561
Ka- Rondo wamekategua kiuno walahi.
In those game BC waliwazuia Magic kucheza. Sio kwamba Celtics walikuwa wacheza saaana.NO.C's wamerudi kwenye formula yao waliyotumia game 1.2.3
Anajitahidi kwa kweli hasa ukizingatia defense duni ya Magic.Hiyo ndo imemsaidia Nate kuonyesha manjonjo yake.
In those game BC waliwazuia Magic kucheza. Sio kwamba Celtics walikuwa wacheza saaana.
Consistence ndogo..Walipunguza lead mpaka 10 pts, halafu wameachia tena.leo MAGIC atatoka hapa kweli?
Leo wamewafuma vibonde. Soon itakuwa 30 pts game.Celtics wakifungwa hii hawastahili kwenda final
Leo wamewafuma vibonde. Soon itakuwa 30 pts game.
This is the X-factor...Nate Robinson
Leo Magic wametepeta 200%he he he he.....washakuwa vibonde....utakubali tu C's wakali
leo magic wametepeta 200%