NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

Mkuu ulienda kwa mganga akakuambia kwamba gap litafika point 20?

Sijui wataweza kuzirudisha zote? Maana shooting machine zao leo zina matatizo.

LAL are much smarter than BC. Ndio maana nawakumbusha watu kusoma post ya kufungua thread. LAL knows how to scrap the win in any circumstances.
 
lol BC wanapoteza possession kizembe kabisa..
 
LA wakipoteza hii game itakuwa mbaya sana, hii q4 wameanza vibaya sana 8 : 1 sasa kwa q.4.
 
Haya Mamba amerejea kumalizia kumuua majeruhi wetu.
 
uzembe mtupu wanachofanya sasa celtics.game limewakataa na hawataki ku-force ,sasa Garnet hio lay up si uzembe mtupu.
 
KG amezeeka ... yaani anakosa kikapu cha wazi kabisa!
 
Celtics inabidi wa fight game 2 kama wako serious.

see u next game abdulhalim

Ahh mie kiroho kwaaatuu, sina wahka wala haraka, tena umenikumbusha, n'enda kuchagua mvinyo nzee zaidi he he he..
 
Celtics inabidi wa fight game 2 kama wako serious.

see u next game abdulhalim

Cs wako more than serious ... ndio maana waliwasili Los Angeles tangu siku ya Jumatatu, kitu ambacho si cha kawaida. Kwa hiyo bado kuna muda wa kurekebisha kasoro za hapa na pale.

Tatizo jingine la Cs wanacheza more physical na imewa-cost ndiyo maana starters wao wengi hawakucheza dakika nyingi, mfano Ray Allen aliingia kwenye foul trouble mapema sana, pia Kendrick Perkins.
 
Hii series tayari LA watalead 2-0
 
Leo Ray Allen alifunikwa sana afadhali Paul Pierce alikuja kufufuka kwenye last quarter
 
Hivi mbebabox yuko wapi, naona hataki kuingia anaogopa betting..he he he..

duh jana umeme ulikatika nikashindwa kuona game!!!!im not surprised na result na game kwa jumla,kumbuka C's walikuwa blownout na CAVS na ORLANDO game 1-1 so i hope watajipanga,they need to steal at least 1 game which i believe they're capable to do.
 
duh jana umeme ulikatika nikashindwa kuona game!!!!im not surprised na result na game kwa jumla,kumbuka C's walikuwa blownout na CAVS na ORLANDO game 1-1 so i hope watajipanga,they need to steal at least 1 game which i believe they're capable to do.

Imani ya kuhamisha milima..Nway nimeshachukua ela ya Wenger bado natafuta 50 bucks nyingine, naona watu wa BC wengine wameingia mitini, ushabiki wa mdomoni tu imani moyoni hawana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…